Bado haihusiani mpendwa. Ngono na tamaa ya ngono ndio iliyosababisha HIV ktk familia. Majukumu ya ndani ni responsibility ya wote, uvivu wa mke ni weakness lakini si chanzo cha HIV ndani ya familia. Kuna wangapi wanatembea na mabinti wa kazi bila kisingizio cha kuachiwa kazi. Kuna 2 issues very unrelating. Kwangu nimepata binti mpya sharp na mrembo. Mtoto wa ndugu yangu akaanza kuonyesha ukaribu. Bibi yake akamkalisha chini na kumwambia binti anaongea na simu hadi saa 8 usiku. So kama ana akili kijana atasikia, asiposikia hana wa kumlaumu kwa chochote. Mke kosa lake ni uvivu tu.