Kheri kukosea kuoa kuliko kujenga????

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Hebu tuone ni kheri ukakosea kuoa au ni kheri ukakosea kujenga?_
444301319727673939722ddb46a56fa7.jpg
.
Ukioa si mnaachana tu mkishindwana, sasa kama umejenga nyumba ya ghorofa 20 utabomoa na hauna tena uwezo wa kujenga???
 
Point ya huyu mdau ni kwamba ukoseapo kuoa haijalishi ni me au ke..kwanza unapindishiwa maisha yako ukaishi maisha mabovu na ya mateso mpk unaingia kaburini..ukicheza na mbingu huioni unaishia kwa lusifa.
 
Back
Top Bottom