Kheri James awasha moto Arusha

Kheri James awasha moto Arusha

wandamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
510
Reaction score
839
Mwenyekiti UVCCM Taifa, Ndg. Kheri D. James (MCC) akihutubia wakati akizindua Kampeni ya Uchaguzi Mdogo katika Kata ya Daraja Mbili mkoani Arusha.

#Tukutane_Kazini
IMG-20180722-WA0077.jpeg
 
Ni mwendo wa vigelegele nderemo vifijo na hoi hoi. CCM kinapasua anga.
 
Kwasabab usawa haupo,

Hakuna tofauti kati ya

Ccm na polisi

Ccm na migambo

Ccm na mahakimu

Kwa utaratibu huo kushinda nilazima
Chama Cha Demokrasia na Malalamiko tumeshawazoea.
 
Back
Top Bottom