imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,433
Upinzani wa kike.Unatumia ufuto gani mkuu?
Upinzani wa kike.Unatumia ufuto gani mkuu?
Ni mwendo wa vigelegele nderemo vifijo na hoi hoi. CCM kinapasua anga.
Huo haujawahi kuwepo katika ulimwengu wowote hata enzi za akina abunuasi.Upinzani wa kike.
Aibu sana kwa na ndugu kama wewe ni sawa na kuwa na kaka shogaNi mwendo wa vigelegele nderemo vifijo na hoi hoi. CCM kinapasua anga.
View attachment 815455
Tunaibomoa ngome !
HahahahaChama Cha Demokrasia na Malalamiko tumeshawazoea.
Yaani la uso walahiDuuuh!
Kwa kweliNi mwendo wa vigelegele nderemo vifijo na hoi hoi. CCM kinapasua anga.
TrueIli tubaki na TLP,ACT,UDP, upinzani bila chuki.
Unajifanya umesahau na kuzungusha mikono....siku za nyuma tunajitia kimbelembele kuimba mijimbo ya ccm mbele kwa mbele,tunakesha kuwashawishi vikongwe usiku wa manane wakaipigie kura...
Mimi ni kada wa ccm na sijawahi kukihama,ila kwa awamu hii sina morali kabisa miradi yangu yote huyu msukuma wa chato kanyofoa mirija,nimebaki nalia tuUnajifanya umesahau na kuzungusha mikono.
Makamanda siku hizi mmeishiwa nguvu. Kwa nini lakini?Mimi ni kada wa ccm na sijawahi kukihama,ila kwa awamu hii sina morali kabisa miradi yangu yote huyu msukuma wa chato kanyofoa mirija,nimebaki nalia tu
Tangu lini, kila siku unakitukana chama nyoosha maelezo.Mimi ni kada
Sawa!Aibu sana kwa na ndugu kama wewe ni sawa na kuwa na kaka shoga