tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,995
- 25,388
wow! namtafuta mwenye kanga hii, naona tunaendana sana. mwenye kumfahamu tafadhali....
Zipo nyingi, hii ni sample tu
Ukiwa na kuku wa kienyeji lakini
utakula pipii ikiwa kwenye karatasi utasikiaje utamu
Inautamu gani? Tudadavulie!!
Acha kushabikia hayo maandishi kiongozi wangu. Kwani kuna korosho majimaji na korosho kavu?Kiswahili cha uswazi kinajulikana, acha kutudanganya!Ni sahihi kabisaaaa korosho kavu tamu sana! Acheni tafsiri zilizo nje ya ukweli... nyie hamuoni korosho zimechorwa hapo! loooh
TACAIDS iwatafute wenye kiwanda hiki na kuwapa onyo!
bwaaaaa
hio editing wakuu