Khanga Moko.....laki si pesa...Tutafika tu

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
820
1,335
424602_174072046062208_1405534670_n.jpg

Hapo imelowanishwa
 
wajinga tu wanaenda jidharirisha hii dunia ipo siku watakumbuka waliyokuwa wakiyafanya
 
Wa kulaumiwa ni Kikwete kwa kudanganya vijana wa bongo fleva na ahadi hewa kuwa maisha mazuri kwa kila mtanzania huku akiwaibia na kuwacheka., matokeo yake njaa kali na imebaki kudhalilishana sasa kwa michezo hii ya kijinga.
 
Hawa ni mawakala wa shetani. Watu wa Mungu kuweni macho. Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke. Mwenye masikio na asikie.
 
Kuzaa watoto wengi shida si tu kwamba unashindwa kuwasomesha, bali unashindwa hata kuwaduga wanapofanya mambo kama haya.

Parental Control switch
 
  • Thanks
Reactions: Paw
mbona hii ya kawada kabisa...muombe Asprin akurushie ile yenyewe...nusu ya kalio nje...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom