Khamisi mgeja ni nani hasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Khamisi mgeja ni nani hasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MzeePunch, Dec 23, 2010.

 1. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimesoma habari ya kushangaza kidogo kwenye gazeti la HabariLeo ikimnukuu mtu anayeitwa Khamis Mgeja (Mwenyekiti wa CCM Shinyanga) akisema eti atamfikisha Samuel Sitta NEC ya CCM kutokana na kauli yake ya hivi karibuni kwamba liondolewa kwenye uspika kwa hila. Anasema atamtaka Sitta athibitishe madai yake. Pia anadai kwa kupinga kuilipa Dowans, Sitta anaibua chuki miongoni mwa wananchi. Kauli za bwana huyu naona zina utata, na nimehisi labda ni mmoja wa vipaza sauti wa ile kambi ya mafisadi. Wanaomfahamu vizuri mtu huyu na msimamo wake watujuze.
   
 2. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  puppet!
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Khamo mbhehi alelya manjemuu shiii!!!!!

  Kingiliwa na kichaaa cha Ki CCM mshangaeni huyo ni wale wanao jifanya wamekunywa maji ya bendera nadhani yeye badara ya kutetea kuwa pale maganzo kuna almasi lakini tokea miaka ya 1970's Shinyanga ianajionea kwa macho watu wanajichotea Almasi na inakwenda UK na hakuna faida yoyote ya Mwadui Mining Mpaka leo sasa sielewi yeye anatetea nini wakati anatakiwa aibane serikali yake wananchi wa Shinyanga esp wale wa mwadua maganzo waneemeke na Almasi inayochimbwa pale kazi kuwa kibaraka wa wakubwa huko CCM ni ujinga na ulimbukeni kwa huyo Khamis Mgeja kaniabisha sana

  Nitakuwa Shinyanga Soon ni lazima nikamtafute huyo mzeee khaaa aibu gani hii anaongelea, uzuzu huu mtupu kabisa

   
 4. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Ni fisadi
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Hakuna haja ya kutafuta CV ya mtu mpumbavu.
   
 6. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Huyo ni Zuzu fulani alizaliwa maeneo ya TINDE Shy(njiapanda ya Kuelekea Kahama na Nzega) kwa kifupi pale mzani wa Shinyanga ulipo.

  Kama wengine waliotangulia kusema ni jamii ile ile ya watu wazembe ambao nina uchungu nao. wameudidimiza mkoa hadi wananchi wamewachoka.

  Nadhani mnakumba kipindi kile wabunge wengi walifuruliza kufariki Jimbo la Solwa, mmojawapo alikuwa mdogo Ndg ya Marehemu John Mgeja.

  Ndiyo maana nchi yetu inaendelea kuongozwa na mambumbumbu, lile Jimbo kumbukeni hadi leo lina Mbunge wa Form4, kilaza mkubwa asiyejua kama shinyanga inahitaji japo Chuo kikuu, viwanda vya ngozi au hata kile kiwanda cha Cement kilichoyeyuka kama biskuti mdomoni mwa mkulu MTALII na yeye anapiga mabenchi kuunga mkono.

  Wana biashara nyingi na wametawala siku nyingi.

  Nina uchungu na nchi yangu, Khamis Mgeja si muda mrefu naye atachemsha kwa sababu Shinyanda 80% ni Upinzani.

  Habari ndiyo hiyo.
   
 7. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hamisi Mgeja ni mmoja wezi wakubwa ndani ya CCM na ndiye aliyeimaliza CCM mkoani Shinyanga na yeye na Shibuda hawaivi kabisa na hata kukatwa kwa Shibuda ni kwa nguvu ya Mgeja!! Jamani naona sasa hii ni dalili tosha kwamba sasa vita ndani ya CCM ndio kwanza kumekucha na nusu fainali 2012 kabla ya fainali 2015
   
 8. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145

  Ni chizi mmoja hivi huwa mara nyingi namsikia kwenye vyombo vya habari akiwapigia vuvuzela mafisadi, pia aliwakilisha sh. mil 1 kwa Mkwere ili achukulie fomu ya kugombea uraisi. Kwa kifupi huyu mgeja anapenda sana kujipendekeza kwa mafisadi, ni mmoja kati ya watu waliou asisi mtandao uliomwingiza mkulu ikulu.
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hivi, ni huyu huyu Khamisi au Johni ndiye aliyepatwa na valangati kule Umoja wa Wazizi CCM?? Kama nakakumbuka haka ka-MUTU vile??
   
 10. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  std 7 pia,....
   
 11. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Ni kemeo kile kile na Ishu hii iliwahi kujadiliwa humuhu,19th August 2009.
  Member mmoja aliyefahamika kama Masatu alipost segment hii'

  "Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta
  Nyepesi nyepesi zinazojiri kutoka NEC ya CCM Dodoma jana Spika Samwel Sitta kawekwa mtu kati kwa namna anavyolipeleka Bunge mpera mpera.

  Miongoni mwa wachangiaji waliomshambulia wazi wazi ni Mwenyekiti wa CCM Shinyanga ambae bila kumung'unya maneno alimwambia Sitta alirudishe kadi ya CCM. Kwa ujumla wachangiaji wengi wameonyeshwa kutoridhiswa na utendaji wa Sitta isipokuwa wawili tu Eng Stellah Manyanya na Mh John Shibuda."


  Kwa hiyo huyu ni yule yule huwa anakisilani pia wivu na watu.
  Nadhani Mtaaona hata kumbe wana Ugomvi na Shibuda pia


   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu Spencer, akhsante sana kwa kunijuza juu ya hili. Kumbe ni lile lile roho-ya-korosho alioiona Marehemu Kalikaweee????

  Basi mwambieni akaipitie kabisa KADI YA CCM kwa Mhe Sitta ila UHAI asiuguse kwani tunasubiri kwa hamu sana huyu Mhe 6 kuwa Mbunge CDM hata kabla ya 2015. Sasa hivi wataanza kushikana uchawi kila kona. Ngoja tu na yeye Mgeja huyo atakavyogeuziwa zile za ki-Chinachina na wananchi wa huko mkoa wa Shinyanga ndio atazinduka usingizini.

  Dr Mwakyembe chapeni kazi huko wala msishiriki majungu za aina hii.


   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa binafsi nilishamuona mara moja wilayani kahama,lakini baada ya hotuba yake nilijiuliza mara mbili ni kitu gani kinachomfanya awe na influence kubwa kiasi hicho katika pande zile?Nilipojaribu kuuliza nilijibiwa kuwa hana lolote zaidi ya kujipendekeza kwa wakubwa wa CCM.kwa mtaji huo basi kwanini wapinzani wasitumie udhaifu wa huyu jamaa ili kuhakikisha kuwa mkoa wa Shinyanga unachukuliwa na upinzani kwa 100%
   
 14. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ccm wote ni mafisadi na wezi..... waliobaki wote ni vilaza kama makamba
   
 15. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  hana ilimu jamani. msameheni bure. ni mwizi na kazi yake ni kujipendekeza kwa wakubwa. namfahamu vizuri.
   
 16. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ndiye Mwenyekiti wa CCM Mkoa Shinyanga ambapo wameumizwa sana na CDM. Infact, Shy ni mkoa pekee (yeye akiwa Mweneykiti) kupoteza viti vingi vya Ubunge kwa CDM: Maswa Magh, Meatu, Bukombe. Shy Mjini waliiba kura kwa kusaidiwa na Polisi na kwesi ya kupinga iko mahakamani. Mgeja kisiasa yuko taabani, anatafuta sababu za kumridhisha Makamba ili asivuliwe Uenyekiti wa Mkoa.
   
Loading...