Khaligraph Jones (OG) the best hiphop artist in Africa

hahahaaaa hv hapo kichwa kipi hapa kibongobongo kinaweza kuckucompit na hawa jamaa..?

Dah bongo bana wachanaji wakali wapo wengi. sisi labda lugha inaweza ikawa inafanya tusieleweke (ingawa sio kigezo kikubwa sana maana SARKODIE anaimbaga hadi kikwao lakini watu wanapenda anavyochana". kwa level hizi na kuchana kwa lugha ya kiingereza wapo wale wa TEMA YAI NATION ( kina wakazi, mex cortez, flesh like uuh, incredible), ila overral namuamini sana Fid. laiti jamaa wangekuwa wanaelewa anachokiandika wangempa heshima.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
"Saying dumb shit with energy doesn't mean its a fact"
"You ignored my age oh you the Kenyan rkelly"
"The three wise men in the bible were recorded leaving the east"
Khali usually says some dumb shit with energy and Kenyans call that 'swagg'
 
hahaha kweli kabisa
 
HAKUNA bar hapo especially because hakuna ukweli Kwenye hizo mistari...diss track lazma kidogo iwe inaakisia ukweli wa mambo na uhalisia wa matukio.
"Saying some dumb shit with energy doesn't mean it's a fact" mhshemdoe,
 
😂😂😂 acha nicheke kwanza hv unawajua watu kama Nasty C, AKA, Nyovest walikuwa hawapo kwenye hiyo category ya Hip Hop unazani wangekuwepo angechukua khaligraph Jones? Nahao watu hawapo coz ni wanatoka SA (south africa) kwann hawapo kwenye category nikutokana na lile sakata la xenophobia ndio maana huwaoni wakiwa kwenye nominees.
 
"Saying dumb shit with energy doesn't mean its a fact"
"You ignored my age oh you the Kenyan rkelly"
"The three wise men in the bible were recorded leaving the east"
Khali usually says some dumb shit with energy and Kenyans call that 'swagg'
fact mzee, ila twende sawa
(Jones)
Next time, pay your lazy fans
To get them to vote
Was in your hood doing a research
And getting mad answers
They never heard of blaqbones
The've only heard of black panther (hahaha)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom