Khaligraph Jones (OG) the best hiphop artist in Africa

Dah bongo bana wachanaji wakali wapo wengi. sisi labda lugha inaweza ikawa inafanya tusieleweke (ingawa sio kigezo kikubwa sana maana SARKODIE anaimbaga hadi kikwao lakini watu wanapenda anavyochana". kwa level hizi na kuchana kwa lugha ya kiingereza wapo wale wa TEMA YAI NATION ( kina wakazi, mex cortez, flesh like uuh, incredible), ila overral namuamini sana Fid. laiti jamaa wangekuwa wanaelewa anachokiandika wangempa heshima.
in other way sie mashabiki pia huwa tunawakwamisha ccoz wakichana kiingereza tunawadiss kumbe ndo tunawakwamisha
 
Yes Bana.!!
My favourite song ATM.

huyu jamaa number nyingine.
Umeusikia instagram girls ?
Mimi nimemsikia huyu jamaa mara ya kwanza kwenye “ reaction video ya TFLA”
Tangu kipindi hicho namfuatilia.
Uongo mmbaya Huyu jamaa ni hatari.
 
Yes Bana.!!
My favourite song ATM.

huyu jamaa number nyingine.
Umeusikia instagram girls ?
Mimi nimemsikia huyu jamaa mara ya kwanza kwenye “ reaction video ya TFLA”
Tangu kipindi hicho namfuatilia.
Uongo mmbaya Huyu jamaa ni hatari.
Kitu kimoja nilichojifunza kwenye safari ya maisha yangu ni kwamba kukua ni taratibu. Unatakiwa ukaze
 
Kwa mara ya kwanza huyu jamaa nilimuona Kwenye msimu wa Coke Studio Africa 2017, alishangaza watu alipofanya cover ya R&B ya msanii Bruce Melodie “You Complete Me”.
 
Uzuri lyrics zimetoka. we dondosha puchlines zako za Khaligraph, mi nadondosha za Blaq bonez.

"Yo kenya this the nigga that you rated as best
Like if y'all were attacked he gon come to your help?
If there’s one thing that anybody’s learned from Manchester
United it that literally nobody’s scared of JONES in defense"
Blaq - 9/10
SOMK, Jones:

I spotted you in Lagos
You were seen bragging
In an uber cab
And I was cruising in a G-wagon
And I couldn't help but pity you
I'd leave it in the past
But it's unfortunate
Your own people treating you like trash (hahaha)

Sent using Jamii Forums mobile app
OG 7/10


So far chalii Blaq ameongoza kwa...he played much better with words
 
Micasa Sucasa.

Sweet flavor from Mob Deep's version.

Respect Kali... Respect the OG!

-Kaveli-
 
Mex Cortez
Naamini waliobeza hii comment wameelewa sasa, kwa sasa mex ndiye rapper anayeiwakilisha vizuri Tanzania nje ya mipaka kuliko rapper yeyote. Kafanya wimbo katika mixtape ya CASSIDY, Ana collabo na mmoja kati ya marapper bora kwa sasa africa kutoka ghana anaitwa LYRICAL JOE na pia kaweza kuonesha uwezo wake kufanya diss tracks kali alivyobattle na rapper wa cameroon King Swaggz. Na kalighraph kasema mwana anaweza kuwepo kwenye KHALI CARTEL 4.
 
Back
Top Bottom