mdundo ngoma sana JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 1,002 Reaction score 956 Oct 15, 2016 #1 Nimeangalia show TBC ya club raha leo, nimegundua Chokoraa ni mpiga show hatari sana Tanzania. Nipo masomoni Marekani nikirudi namtafuta aseee. Hongera sana watanzania kwa kubarikiwa vipaji, huo wimbo wa akina Said Mwamba naupata wapi wadau?
Nimeangalia show TBC ya club raha leo, nimegundua Chokoraa ni mpiga show hatari sana Tanzania. Nipo masomoni Marekani nikirudi namtafuta aseee. Hongera sana watanzania kwa kubarikiwa vipaji, huo wimbo wa akina Said Mwamba naupata wapi wadau?
innocentmollel JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 1,702 Reaction score 753 Oct 15, 2016 #2 Aya tumeshajua upo marekani. Masomo mema
salazar JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 681 Reaction score 390 Oct 16, 2016 #3 mdundo ngoma sana said: Nimeangalia show TBC ya club raha leo, nimegundua Chokoraa ni mpiga show hatari sana Tanzania. Nipo masomoni Marekani nikirudi namtafuta aseee. Hongera sana watanzania kwa kubarikiwa vipaji, huo wimbo wa akina Said Mwamba naupata wapi wadau? Click to expand... Mkuu vipi umeenda na ulanzi huko
mdundo ngoma sana said: Nimeangalia show TBC ya club raha leo, nimegundua Chokoraa ni mpiga show hatari sana Tanzania. Nipo masomoni Marekani nikirudi namtafuta aseee. Hongera sana watanzania kwa kubarikiwa vipaji, huo wimbo wa akina Said Mwamba naupata wapi wadau? Click to expand... Mkuu vipi umeenda na ulanzi huko
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,981 Reaction score 15,027 Oct 16, 2016 #4 Chokoraa,kaacha bendi waliyokuwa wanaimiliki kwa pamoja na wenzake akina Jose mara na kalala juniour...yeye na Kalala wakarudi Twanga kutumwa..
Chokoraa,kaacha bendi waliyokuwa wanaimiliki kwa pamoja na wenzake akina Jose mara na kalala juniour...yeye na Kalala wakarudi Twanga kutumwa..
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,981 Reaction score 15,027 Oct 16, 2016 #5 Kwa sasa muziki wa dance upo hoi bin taabani...utakuta bendi kubwa inapiga sehemu kiingilio kinywaji,na ukumbi upo tupu....
Kwa sasa muziki wa dance upo hoi bin taabani...utakuta bendi kubwa inapiga sehemu kiingilio kinywaji,na ukumbi upo tupu....
Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 6,331 Reaction score 11,889 Oct 16, 2016 #6 umeliona lijike lake! aibu ya mwaka
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,264 Oct 16, 2016 #7 Hivi TBC bado ipo??