Khah, First Date iliyonitoa jasho. . .

Mimi nataka kujua nini kiliendelea siku ya pili ya mtoko maana hii ya kwanza umenichanganya mtoto wa watu kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh!!!
 
Yaani BT hii kitu sitaisahau
hadi wajukuu ntawasimulia.

Tueleze tu, mbona mie nimejitoa mhanga.

Mngoje Mtambuzi..

Show zake kali za mambo kama haya...

Ila sikupatii picha ulivyokuwa in front of the desk la hao "herufi sita",a.k.a. Manjagu..na huku ulikuwa umevunja sanduku,na kubomoa kabati,na kuharibu mandhari ya dressing table.
 
Ha ha ha ha

yaani wewe ndo ulikutana na mpolee?

Yaani kuna watu najua tu walishawahi chemsha.
Hasa Kloro, rejao, na bishanga.

Usinikumbushe nilivotoka na raba mtoni zangu za kuazima. Zilinibanaje?

Anyway, mie kisa changu hakiko kwenye first date.
Nikiwa na ukubwa wangu kabisa nikapata kimwana...
Ili kumwonyesha kweli nafanya kazi BOT, nikaazima garrri ya mshikaji
Nikapitia fuel station kujaza wese, kidemu kikiwa pembeni ili nipige full kipupwe.....

MUNGU wangu, sehemu ya kufungulia tank ya mafuta niionee wapi?
Niliitafutaje? Nguo ya kuzima haisetiti masabur.i asee!

Ngoja niishie hapo manake hapo ni tela tu.....
Mbeya yoyote anayetaka niendelee kusimulia anyooshe kidole juu
 
Hahhahaaaa ungesema tu tanki 'limepotea'

Kuna bidada nilimpenda tangu siku ya kwanza nilipomuona.. Nikaona nijenge naye mazoea kwanza..

Mazoea yakaendelea weee... Mi nikafurahia hiyo hali...

Alikuwa na mvuto wa aina yake kwa kweli..kila jinsia ilikuwa inamkubali kuwa yeye ni kifaa.. Yaani ilikuwa naona sifa sana nikimwita mbele ya watu ili wajue mi ndiye mmiliki na yeye alishanizoea..

Watu walikuwa wananionea wivu na gere,kwa walau kuwa na uwezo wa kumwita akaitika. Wengine wanamgwaya..

Nilipoona inatosha,nikasema ngoja "nimtokee"... Nikamwambia achague kati ya lunch na dinner... Kimapepe akajibu "vyote viwili".. Mi nikatoa 5,000 mbili nikampatia.. Nikamwambia dinner itakuwa saa 1 mahali fulani,lunch sitaweza..

Mzee mi saa 12 nikawa lile eneo la tukio.. Natafuna karanga,bisi,korosho,na juice pembeni..

2 na nusu akatia timu.. Baada ya msosi.. Nikaamua kuanza kumwaga sera.... Huwezi amini.. Alinishangaaje!
Akasema anasikitika sana kunipoteza rafiki kama mimi..

Nikamwambia ndiyo tunakuwa karibu tukiwa na mahusiano ya kimapenzi.. Akanijibu kuwa sijamwelewa..
Akasema alinichukulia kama rafiki,alinithamini kama rafiki tu.. Akinitembelea anakaa hadi kitandani(enzi hizo nina room moja). Na aliamini haingeweza kutokea mimi kumwambia masuala yale...

Kilinishukaje!
Nikambembeleza(ye hapo ashachukua pochi yake),kuwa basi nafuta kauli yangu.. Akajibu,haitafutika akilini mwake.. Na akasema nimemsaidia kwa kumpa fundisho hilo kwani wanaume wengine wakija kwa dizaini hiyo atastuka mapema..

Nilisikitika na kuona aibu sana.. Akaniaga,na kutokomea!

Date hiyo umeionaje Konnie(mleta uzi)?
 
Daah pole zako Gee Cee.. Ukawa mdogooo kama nakuona vile!
 
Ha..ha..ha nakuelewa sana Kisu na Uma ni changamoto sana,ila siku ukialikwa kwa mchina utajua umuhimu wa kutovunga kuomba maji ya kunawa mikono...afadhali uma na kisu lakini kuna vile vijiti yaani sitaki kuvisikia kabisa vilishawahi kunilaza njaa mimi.Kisa na mimi nionekane hawavumi lakini wamo ilibidi asubuhi ninawe mikono mwenyewe ili kuziba mashimo.

Aksante mkuu
 
mmmh, uje na helmet ya tindikali
au uje na tester ya sumu kwenye pilau.
si unajua nilivyo na roho mbaya kwenye milki zangu??

Kama una roho ngumu karibu.

Afu konnie pasaka mi mgeni wako. Ujue mapema! "Usipoalikwa jialike." slogan ya easter hii.
 
Back
Top Bottom