mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Jul 4, 2012 #21 Kigogo said: anampa laana tu mtoto wa mwanamke mwenzie ..khaaaa Click to expand... Ana utoto gani huyo?
Kigogo said: anampa laana tu mtoto wa mwanamke mwenzie ..khaaaa Click to expand... Ana utoto gani huyo?
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 618 Jul 4, 2012 #22 haya bwana we jilie vyako baba sie twalopoka maneno tu huku
NdasheneMbandu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 940 Reaction score 308 Jul 4, 2012 #23 Afu dogo ni kama anaiangalia mashine yake kama haamini vile! Anatamani waondoke mapema stejini ili wakaendelee na 'ratiba inayofuata'.
Afu dogo ni kama anaiangalia mashine yake kama haamini vile! Anatamani waondoke mapema stejini ili wakaendelee na 'ratiba inayofuata'.
K KABAZI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2010 Posts 303 Reaction score 11 Jul 4, 2012 #24 safi sana faidi wote mama na wanae si kapenda mwenyewe!!!!!
Mohamedi Mtoi R I P Joined Dec 11, 2010 Posts 3,321 Reaction score 6,331 Jul 4, 2012 #25 Nakumbuka marehemu Witney aliimba "Love is blind"
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 4, 2012 #26 kula kwa tindo said: Kwa kuendekeza Tamaa za mwili, Penzi halina umri.. Lakini kwa hofu ya Mungu, Tuige na tukubali kua \mwanaume anapaswa amzidi Mwanamke ki umri . Like Adam na Hawa, Adam alikua mkubwa kwa Hawa.. Click to expand... Kitabu gani kimesema mwanamme aoe mke mdogo zaidi yake
kula kwa tindo said: Kwa kuendekeza Tamaa za mwili, Penzi halina umri.. Lakini kwa hofu ya Mungu, Tuige na tukubali kua \mwanaume anapaswa amzidi Mwanamke ki umri . Like Adam na Hawa, Adam alikua mkubwa kwa Hawa.. Click to expand... Kitabu gani kimesema mwanamme aoe mke mdogo zaidi yake
ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,141 Reaction score 951 Jul 7, 2012 Thread starter #27 Mohamedi Mtoi said: Nakumbuka marehemu Witney aliimba "Love is blind" Click to expand... Really Blind...Ng'ari Ng'ari
Mohamedi Mtoi said: Nakumbuka marehemu Witney aliimba "Love is blind" Click to expand... Really Blind...Ng'ari Ng'ari
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,833 Jul 7, 2012 #28 MadameX said: Mbona tunaolewa na vibabu vizee hatupigi kelele, when its pay back kwanini manweka mabandiko? Click to expand... Mnaolewa na vijibabu vizee hampigi kelele kwasababu ya njaa zenu hata hawa magigolo yote hiyo ni sababu ya tamaa na dhiki!!
MadameX said: Mbona tunaolewa na vibabu vizee hatupigi kelele, when its pay back kwanini manweka mabandiko? Click to expand... Mnaolewa na vijibabu vizee hampigi kelele kwasababu ya njaa zenu hata hawa magigolo yote hiyo ni sababu ya tamaa na dhiki!!
lutayega JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 1,297 Reaction score 572 Jul 7, 2012 #29 kwa hiyo hao watoto wa kike baba yao ndo huyo, kama ndiye basi akaribiana sana umri na mabinti zake