khaaaaa wazungu kwa ubaguzi!!!!

Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,362
490
kwenye footbali wamejitaidi kutokomeza racims lakini kwenye jamii nje ya mpira ngozi nyeusi imekuwa dhaifu
 
Attachments

  • 73145_495802187141973_456204864_n.jpeg
    73145_495802187141973_456204864_n.jpeg
    17.4 KB · Views: 552
sijaelewa plz, nisaidie nielewe ubaguz hapo upo vip kwenye hayo maneno na picha
 
Mleta mada amemaanisha hivi... Watu weusi huwa wana msemo wanautumia kwa Mzungu wa jinsia yoyote anayejihusisha kimapenzi na mtu mweusi ..lakini haswa huwa wanaume weusi unasema " Once you go Black..you will never go Back". Meaning kwamba ukishamegwa na mweusi huwezi kutamani kurudi tena kwa Mzungu.

Sasa hiyo picha hapo naona wajuaji wameukarabati huo msemo kuwa "Once you go Black..you're a single Mom"...Meaning majority ya wanaume weusi huwa hatudumu au kutunza familia zetu. It's a White people stereotype anyway..though some of it Ina ukweli ndani yake.

Naelewa kwa nini mleta mada emehisi kuna ubaguzi kwenye hiyo picha.
Kama utakuwa na maswali zaidi ..jisikie huru kuuliza.
 
Kind thanks frendi JF,
Yaani inamaanisha watu weusi hawaAminiki? au Hawana resposiblity ? au hawana pricipals ? au watu wasiyo na muelekeo ? maybe wanatufikiriya mabarberien ?
Tafadhali uwe huru tuweze kufahamu.
Good luck and blessings.
 
This is a joke.
Black man go to disco and come out with white woman. Woman insist they go to her house. when they reached the woman comes out naked from bathroom , lie on bed and tell the man ' tie me on my bed and do what you blacks do good' the man get exited, tie the woman legs and hands on bed posts and take the flat screen TV and leave the house !!
 
Ha ha ha
Viva black man!
 
Ameline na hii unahitaji maelezo...haya...ngoja nijitolee ila unipe credit...kutokana na picha na maelezo inaonekana mzungu alikuwa anatembea na mweusi...kwa hiyo akawa mjamzito....hivyo wanasema ukiishatembea na mweusi utegemee kuwa single parent katika kulea.

sijaelewa plz, nisaidie nielewe ubaguz hapo upo vip kwenye hayo maneno na picha
 
Kind thanks frendi JF,
Yaani inamaanisha watu weusi hawaAminiki? au Hawana resposiblity ? au hawana pricipals ? au watu wasiyo na muelekeo ? maybe wanatufikiriya mabarberien ?
Tafadhali uwe huru tuweze kufahamu.
Good luck and blessings.
Yes Indeed. Some of the Caucasians tends to believe that. Though being irresponsible has nothing to do with race. Lakini hawa wenzetu wazungu wamebase sana hizo tabia kwa sisi watu weusi.
Bless..
 
Siyo sisi tu hata kwa other ethnics.. Tunaona wanavyo Impose kwa waraabu wa asia hata malatinoz
Lakini nasi tuna prctg.% Ya uzembe na kutobeba majukumuu.!!
good luck
 
Back
Top Bottom