Mwambie akatafute kazi.
So sio lazimaeee . . . . . . . !!!!
Yeye anajua yupo kazini tayari.
Kama dada anajiona yupo kazini basi ataona ni lazima alipwe kwa huduma anayo itoa, na nadhani itakua fair kwa kaka kum-evaluate na ikibidi kum-replace ikiwa huduma hiyo haimridhishi. ila kama ni mapenzi sioni haja ya kumpa hela zaidi ya zawadi za hapa na pale (zawadi go both ways).
Kuna aina nyingi ya relationship (just like kuna aina nyingi ya wanawake, aina nyingi ya wanaume na endless combinations). Hiyo based on money ipo sana, na ikiwa muhusika wa kiume anashindwa ku-suply hela za kutosha anatafutwa msaidizi wake (ikibidi wawili watatu) na maisha yanakwenda. wanaume nao wanasuscribe kwa wasichana wawili watatu na wanapeleka maisha kwa mtindo huo. and they all believe they are in a relationship.Hiyo aliyo nayo sasa siyo full time. Akatafute kazi full-time halafu hiyo ya kupiga mizinga wanaume aibakishe kama part-time.
This way she'll hardly ever be broke.
Nyumba Kubwa unakunywa bia gani vile?Nataka nikupongeze kwa hilo li post la ukweli hapo juu!
Haya,nakutumia "jet"sasa hivi ije ikuchukue ikulete Malaika Hotel ugonge kisha urudieeee!
Kuna aina nyingi ya relationship (just like kuna aina nyingi ya wanawake, aina nyingi ya wanaume na endless combinations). Hiyo based on money ipo sana, na ikiwa muhusika wa kiume anashindwa ku-suply hela za kutosha anatafutwa msaidizi wake (ikibidi wawili watatu) na maisha yanakwenda. wanaume nao wanasuscribe kwa wasichana wawili watatu na wanapeleka maisha kwa mtindo huo. and they all believe they are in a relationship.
Kwangu mimi sio sawa, na sio lazima wapenzi kupeana hela za matumizi. Ila this is based on my definintion of a relationship. they have theirs.
Hiyo hotel iko Mwanza eeh...Jina si geni. Ngoja nikae mkao wa kunywa.Lol. Afu sasa ungejua mwisho wangu ni glasi moja...sasa hiyo gharama ya jet si asavali ungetuma hiyo ela kwa M-Pesa.
Usijali gharama,ni katika kuonesha nimeikubali post yako.Yes Malaika iko Mwanza.Lakini if u like nitakutumia kwa M-pesa,namba yako si ileile?Naikumbuka ni 0769 000 001!!Hebu ni-DIPU sasa hivi!