......NK, .....mimi nimejiamulia kama nitaoa tena, basi atayenifaa ni ex-victim mwenzangu, ....ambaye nae keshaburuzwa vya kutosha bila kuthaminiwa huko alikotoka.
....iwapo sie wawili, tuliojaa makovu tukiamua kuishi pamoja, kuna chances pia za kuumizana japo sio kwa kiwango "kikubwa" (note the "-")...au wewe waonaje?
Maumivu ya Mapenzi siyataki tena Mbu mie. Hivi, ni kwanini Mapenzi yanauma?