Kha..! Wa wapi huyu?

Huyu atakuwa nyau wa tajiri flan alietumbuliwa!mambo imekuwa mbaya masoseji na baga hamna tena
 
Hahahaaa kama sio wa Kibandamaiti atakuwa wa Mchambawima huyu.
 
Nyau wanakula vitu vingi sana huwezi amini....tembele...half cake...chapati hata ice cream zile za uswazi zile .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…