Kha...! Nyau wa wapi huyu?

Paka utakavyomzoesha ndivyo hvy hvy,
Paka wangu ukimuwekea soda kwny chombo chake anailamba yote hasa fanta,
Popcorn anakula, chocolate twende, keki ndio usiseme, chapati ndio humtoi, maandazi, ugali na maharage, ukitafuna bublish anakufata mpk mdomoni.

So funny.
 
Huyo usahau tena kula panya anaweza kutapika kwa kinyaa
 
Tom Puss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…