permalink ni ile link ya post/page yako mbele ya domain name, inayokaa kwenye address bar ya browser yako mfano
View attachment 698820
unatumia blogger au wordpress? kama unatumia wordpress permalink structure yako nakushauri isiwe tofauti na title ya post yako mfano
TITLE:
HOW TO DONATE A CAR IN CALIFORNIA
Permalink yako iwe hivi:
mfano .com/how-to-donate-a-car-in-california/
Google tangu 2016 walianza kuondoa links za posts ambazo contents zake zipo copied kila kitu na wanaipa kipaumbele blog yenye original content na kama umejiunga na adsense yao basi ipo siku utapata message ya content plagiarism na watadisable account yako maana ni moja ya policy yao kuhakikisha kuwa unapost original content. Solution ipo hivi kama hilo tangazo ulilo kocpy lina maelezo mengi jaribu kucheza na grammars upya ili content yako ionekane genuine