Keypad ya simu ya nokia e6

Keypad ya simu ya nokia e6

Lepapalongo

Member
Joined
Jan 28, 2009
Posts
92
Reaction score
11
Wadau naomba anayeweza nisaidia upatikanaji wa keypad ya Simu Nokia E6 inanisumbua D-pad imeharibika so nimebandika na glue lakini hakuna msaada.
Nawasilisha!!!
 

Attachments

  • 1417332001542.jpg
    1417332001542.jpg
    103.7 KB · Views: 87
Back
Top Bottom