HP ya kichina au??? Je language ya keyboard ni ipi??? Maana wakati mwingine kama una keyboard inayotumia lugha nyingine zaidi ya UK English, huwa zinatabia ya kubadilika hadi ufanye settings.
Haiboi wewe no unaboreka na inawezekana sio tatizo la keybpard
Mikono na vidole vyako na interefe na Touchapd wakati una type ndo maana. unapata hayo matatizo.
Kama unaweza weka hiyo Touchpad off na tumia mouse ya pembeni kama ya kompyuta
Sijui unatumia windo gani... Ila kwa kukusaidia tu, nenda kwenye Control Panel kisha angalia au double click Reginal and Language Icon, kisha angalia language set ni ya nchi gani. Click kwenye English United Kingdom.... Then try to type kuangalia kama maandishi yanajichanganya.