Keyboard & mouse hazifanyi kazi

Keyboard & mouse hazifanyi kazi

Class 1

Senior Member
Joined
Jan 21, 2022
Posts
121
Reaction score
447
Waheshimiwa kwema,

Nina tatizo la Keyboard na mouse, havifanyi kazi kwenye window 10, ila ukizima ukiwasha pale kwenye F2 inafanya kazi, tatizo ni ikaliza kuwaka ndo hapo haifanyi kazi kabisa.

Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom