keyboad

atrash

Member
May 1, 2011
75
12
habari zenu wakuu naomba msaada wenu nautumia laptop aina ya samsung i7 RF 511 window 7 nina tatitizo la keyboad yangu herufi tatu hazifanyi kazi nikajua labda ni driver za tauchpad nika weka lakini tatizo bado liko pale pale je nifanyeje naomba msaada wenu tafadhali
 
kah.. mkuu unafanya nini na mashine tamu kihivyo? :A S tongue:

:focus:
ukiona inagoma kuandika herufi, ujue tatizo ni hardware sio software as in itakuwa labda hizo keys zimekwama kwa ndani. tatizo ni kwamba mpaka utoe keyboard za laptop mpaka ufungue mashine yote. kama we sio mtaalamu wa kufungua PC tafuta a qualified technician aifungue mjue nini mbaya

in other news, siku unajiskia kuiskuma naomba kuwa wa kwanza kushtua :A S tongue:
 
panda dau mkuu nipe ofa yako utanipa ngapi
 
atrash, sina shida ya kutaja bei ila nitajie specs zako, si unajua hawa jamaa wana tabia ya kutoa model moja ya laptop kwa style mia tofauti. nitajie specs zako napanda dau chap
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom