key za laptop hazikliki jamanii, msaada tutani

Mwana wa Mungu

JF-Expert Member
Aug 14, 2008
1,003
83
wajameniee, ninayo laptop yangu, nafanyia kazi kila siku, lakini chaajabu karibia wiki moja, key zake haziklick, hivyo nashindwa kuandika. hivi nifanye nini ili key za keyboard ya laptop ifanye kazi tena? je, kuna bandia naweza weka? sina uwezo kuifungua. msaada kwa ushauri nifanyeje, au kama kuna mtu yalishamtokeaga kama yangu. asante kwa ushauri mtakaotoa.
 
Uki-click zinabonyea?

Nadhani kwenye laptop za Toshiba unaweza ku-lock keyboard. Pengine umefanya hivyo kwa bahati mbaya?
To unlock, tizama kama kwenye laptop yako kuna key yenye alama ya kufuli. (Pengine utahitaji ku-press Fn key pamoja na hiyo yenye kufuli kwa mpigo)
 
hata mimi nina tatizo kama hilo kwenye dell, nilisafiri nayo kurudi key 4 hazifanyi kazi!
 
There ar few genius people who invented something called
*** Computer maintenance ***

I think its time to pay a bit so that ur laptops could be cleaned well or if you have the tools openemup and do a little cleaning under the hood...

I had a cimilar problem with half of my keyboard after i opened it up i foundout that i spilled a coffee on it without my knowledge thats why it was not working...

cheers
 
tatizo ni battery zenu.....Maana zinapokuwa zinaanza kufa ndo dalili zake....ili kuweza kuwa na uhakika chomoa battery za laptop then plug in kwenye umeme direct then washa laptop yako......hapo unakuwa unatumia laptop yaka kama desktop.

hii pia inashauria wakati unatumia laptop kwenye umeme kwa muda mrefu ili kuweza kurefusha muda wa battery za laptop
 
Back
Top Bottom