Key ya Microsoft windows 7 professional

Key ya Microsoft windows 7 professional

Natumia piracy copy, naomba mwenye key anisaidie

Shukrani.

Soma post moja ya Mzizimkavu ya jinsi ya ku-activate Windows feki. Nenda kwenye jukwaa la Gadgets
 
Mwanagu kwani nini uendelee kutimia pirated copy ya windows 7 wakati genuine hadi kwa kilo unapata na iko poa unaactivate kwenye net na microsoft wanaibariki.Ni Pm kama unahitaji.
 
Back
Top Bottom