Sawa.....natamani niwashauri madogo waoe single mummy hawa ni wake wazuri zaidi
- kwanza wengi ni waoga na wametoa mimba chache
- wakijengewa mazingira ya kupendwa na kuaminiwa ni waaminifu sana
- wanaadabu
- wanaona sadaka ya mwanaume kujitoa kwa kuwaoa wao
Mwanamke amebeba nyota ya mafanikio ya mumewe
Inaaminika kuwa wakina dada wamebeba mafanikio ya waume zao na ndio sababu wanatakiwa kutojihusisha na tendo la ndoa na mtu yeyote isipokuwa mume wake
Mfano,Ikiaminika kuwa nyota ya mafanikio ya Mwanaume iko katika ubikra pale tendo la ndoa linapofanyika kwa Mara ya kwanza na mume wake anaiachilia hiyo baraka kwake..hii ni moja ya sababu kwa Nini apatae mke apata kitu chema apata kibali kwa Bwana
Source mwal..T.mwakyembe
Mdogo wangu acha ujinga huo. Usiombe kumuoa single mother.
Ni mateso matupu hakuna uafadhali hata.
Nilishawahi kuwa na single mother mwenye watoto watatu yaani ilikuwa taabu ada ya shule alitaka nilipe Mimi, hao watoto wakiumwa ni mimi ndiyo Nilikuwa nawahudumia hawana nguo za kuvaa anataka niwanunulie.
Mwisho wa siku hautajijenga hata siku moja utaishia kusomesha na kuwahudumia watoto wa mwanaume mwenzako. Siku watoto wakifanikiwa hakika utafukuzwa toka kwenye nyumba yako hata kama uliijenga wewe.
Mabinti wa siku hizi hatuwezi kuelewa kabisaNi kweli kabisa nadhani kumwambia mtoto wa kike asifanye mapenzi kabla ya ndoa kuambatanishwe na sababu ataona umuhimu zaidi
Mimi pia nina Imani kama hii yako
Mabinti wa siku hizi hatuwezi kuelewa kabisa
Hii n moja ya madhara ya kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa
Nyota ya mafanikio ya mumeo hupotea
Unaenda kwa mumeo ukiwa tayari umeuza nyota kwa mtu mwingine wa nje
Kuna maagano unafanya,,,,Kweli kabisa unaenda kwa mume ukiwa umebeba uchafu wa nyuma na hii ni moja ya sababu kuu kwanini ndoa za sasa hazidumu kama za zamani
Uzinzi kabla ya ndoa bila kuomba toba na rehema kwa wanandoa wote wawili ndoa inakuwa ngumu
teh..teh...tehh....Mdogo wangu acha ujinga huo. Usiombe kumuoa single mother.
Ni mateso matupu hakuna uafadhali hata.
Nilishawahi kuwa na single mother mwenye watoto watatu yaani ilikuwa taabu ada ya shule alitaka nilipe Mimi, hao watoto wakiumwa ni mimi ndiyo Nilikuwa nawahudumia hawana nguo za kuvaa anataka niwanunulie.
Mwisho wa siku hautajijenga hata siku moja utaishia kusomesha na kuwahudumia watoto wa mwanaume mwenzako. Siku watoto wakifanikiwa hakika utafukuzwa toka kwenye nyumba yako hata kama uliijenga wewe.
Umenena vema mkuu, watakubali kweli?Mmeamua kujipigia debe sasa!,haya mama lakini utakubali nikuoe na hali mbaya yangu hii ili unipe hiyo key to success?
Indeed long time....mambo vipi mrembo[emoji28][emoji28][emoji28]mzabzab long time
Can I marry to fullfill my sucess desire?
Jibu tu nije na pm usinifungie mlango tuSijui nijibuje hapa imani yako ndio jibu