Mwaaaa....luv u too hny..thanx
You'r welcome
Mbona amekuwa mbaguzi au ndo kusema hawapendi wazungu kwakuwa wanaendesha ubaguzi kwa watu weusi?[video=youtube_share;nopWOC4SRm4]http://youtu.be/nopWOC4SRm4[/video]
Uvumilivu utanishinda mda si mrefu.Niko mbioni @ Nt.....Au basi tu
Hahaa we mtoto wa kike hem tulia huyu nae si kaka yako ama???
Mie huyo hata simjui.
Ng'waguku.
Ila huyu kapitiliza waziwazi na mna hii!Mdada wa watu kajianda kumhagi kampangusa hadi madada naona alitamani aridhi ipasuke atumbukie!Wanatakiwa watu kama hawa kwa wale wabaguzi
Mie huyo hata simjui.
Naona kaamua kukujulisha mwenyewe
Ila huyu kapitiliza waziwazi na mna hii!Mdada wa watu kajianda kumhagi kampangusa hadi madada naona alitamani aridhi ipasuke atumbukie!
Yani naona hata kwenye misiba ya wazungu haendi kabisa anaroho mbaya kwa watu weupe!Hahaha me naona akichomfanyia mtoto mzungu sio vizuri, hajamsifia ata wakati mwenzake kamkiss....
Ole nsukuma wa halee???