Morning shem, mimi nishalipa tayari
Ukifungua hiyo video mimi ndio nalipa huku shem
Hahahaa asante shem ngoja nifungue
Mama upo....!!!!? Nimekuwa nikikutafuta takribani week sasa. Mzima lakini?
Morning shem. Shem mimi nishalipia tayari, kuangalia hapo ni BURE
Nimekuwa nikikutafuta hapa hapa mtaani kwetu. Hata usinihukum mimi, hadi uzito umepungua kwa kukumiss....!? Basi mama usiendelee kununa usijenitia huzuni buleeee. Zawadi utapata mama, we sema aina gani ya zawadi unapendelea.
Inakudanganya shem, imejuaje kama huna hela??
Waijua zawadi nnayopenda sina hata haja ya kukuambia
Umekwisha ipata. Kuna jingine....!?
Sina jingine nasubiria tu zawadi yangu
Mama pokea zawadi yako. Love you very much, mwaaaaa.......!!!!
Mwaaaa....luv u too hny..thanx