Mkuu, mbona hiyo program ni free kabisa na sijswahi kuona inahitaji keys. Kama vp ipakue kutoka cnet.com.Habari wana Jf, naomba mwenye key za Virtual Dj pro vision 7 anipatie. Natangulliza shukrani.
virtual dj home free v7.05 haiitaji key,pro7 ndio inahitaji key,chukua utorrent zipo nyingi full cracked
Mkuu, mbona hiyo program ni free kabisa na sijswahi kuona inahitaji keys. Kama vp ipakue kutoka cnet.com.
Hiyo yake ni pro siyo home edition ambayo nî free
Hakukisha una strong antivirus na iwe apdated lakini. Pro ni nzuri maana inasuport mic with no limit ila hutaweza kudownload plugins maana ni ya kuchakachuaHiyo yake ni pro siyo home edition ambayo nî free