Wakuu za jioni. Naombeni msaada kama kuna key body ambayo unaweza kuandika maneno kwa kiswahili nayo ikakutafsiria kwa kingereza. Maana english. Ni tatizo kwangu kama nataka kuwasiliana na mtu wamataifa mengine. kwa mfano....nataka kwenda nyumbani iweze kunitafsiria kwa kingereza. Asanteni. Nahitaji kujua