Kevin De Bruyne ni albino?

Kevin De Bruyne ni albino?

Sio kwa ubaya huwa najiuliza sana kuhusu De bruyne mbna ni mweupe sana kuliko wazungu wenzie, ila sijawahi waza km ni Albino.

Trump nae vipi? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Manara atakuwowa wee๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Huyu jamaa sio Albino, nimesoma na watu.wenye albinism toka primary hadi chuo, naweza kusema kitu cha kwanza kinachokufanya umjue albino mbali na ngozi ni macho yao.

Albino hata awe mzungu macho yao hayadanganyi lazima utamjua tu.
Macho yao yanakuaje?
 
Back
Top Bottom