Kevin De Bruyne ni albino?

Kevin De Bruyne ni albino?

Screenshot_20250331-221428.png
 
De Bruyne na Paul scole ni Albino
Sema wazungu zeruzeru Huwa hawasumbuki kama huku kwetu
Huyu jamaa sio Albino, nimesoma na watu.wenye albinism toka primary hadi chuo, naweza kusema kitu cha kwanza kinachokufanya umjue albino mbali na ngozi ni macho yao.

Albino hata awe mzungu macho yao hayadanganyi lazima utamjua tu.
 
Wazungu hawaweki wazi hali za ualbino
De Bruyne na Paul scole ni zeruzeru acha ubishi
 
Kuna yule mcheza mieleka anaitwa Sheamus ule weupe wake sijawahi uelewa .Uko tofauti na wa wazungu wa kawaida
Naye bila shaka atakuwa albino
 
Back
Top Bottom