donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
.
Huo ni Mkono wa Mwanamke au Mwanaume wa Dar? Maana umekaa kama Vifaa vya Kushindiria Ardhi au Ndizi za Kuiva, sijui kwa kweli!
Huo ni Mkono wa Mwanamke au Mwanaume wa Dar? Maana umekaa kama Vifaa vya Kushindiria Ardhi au Ndizi za Kuiva, sijui kwa kweli!
Huu wangu mwanaume wa dar mkuu, kazi ngumu ni kutype kwa keybord

Naombaaa Serengeti lite
Kwajinsi nilivyoona Mkono na saa nikaenda mbali zaidi kulinganisha na shughuli unazofanya. Naona kama ww ni tapeli Flani au wazee Wa mishen town flani hivi.
AKA mzee wa kusomeshaKwajinsi nilivyoona Mkono na saa nikaenda mbali zaidi kulinganisha na shughuli unazofanya. Naona kama ww ni tapeli Flani au wazee Wa mishen town flani hivi.
Hii ni kwahisani ya jicho la tatu na mlango Wa sita Wa fahamu
Mkuu tumia tu maana hatujui umezitafutaje
Yes japo you are wrong mkuu, mimi ni agro economistKwajinsi nilivyoona Mkono na saa nikaenda mbali zaidi kulinganisha na shughuli unazofanya. Naona kama ww ni tapeli Flani au wazee Wa mishen town flani hivi.
Hii ni kwahisani ya jicho la tatu na mlango Wa sita Wa fahamu
Umeona na weweKwajinsi nilivyoona Mkono na saa nikaenda mbali zaidi kulinganisha na shughuli unazofanya. Naona kama ww ni tapeli Flani au wazee Wa mishen town flani hivi.
Hii ni kwahisani ya jicho la tatu na mlango Wa sita Wa fahamu
Mbona imekaa kinyonge afu imepoozaaaa.
Piga za baridi bwana afu isikae moja mezani.
Mkandamizaji kwenye ubora wake