Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,080
- 45,281
Nina ushahid mzeeMzee Baba una ushahidi au story za vijiweni?
Nina ushahid mzeeMzee Baba una ushahidi au story za vijiweni?
Kichaa ndio mkuuYupi huyo au ndo yule kichaa
Kama hivyo no sawa!!Nina ushahid mzee
Ohooo mzee baba umeanza kuniingiza kwenye matatizo sasaKichaa ndio mkuu
Ila Mungu yupo, hii dhuruma watesi wao watakuja kuilipa siku moja.mzee baba jamaa kashamalizwa waliamua wampe kes ya kuhujumu uchumi ili akae gerezan mda mrefu cha kusikitisha na mke wake naye yuko jera mume yuko mahabusu musoma wakati mke wake yuko mahabusu mwanza butimba. inauma na kusikitisha sana
kwa nini sasa usiupeleke mahakamani, ni wivu wa kijinga tu, umasikini wako isiwe sababu ya chuki kwa wenzako.Nina ushahid mzee
vipi aliwahi kukupigia pumb.u mama yako nini.Mwenye pesa anaweza kufanywa chochote. Zamani mwenye pesa aliweza kufanya chochote. Kibao kimegeuzwa. Mshenzi mkubwa Zakaria amewatesa watu sana. Sasa zamu yake. Papuchi ataisoma kwenye magazeti....
Tunaisomamzee baba jamaa kashamalizwa waliamua wampe kes ya kuhujumu uchumi ili akae gerezan mda mrefu cha kusikitisha na mke wake naye yuko jera mume yuko mahabusu musoma wakati mke wake yuko mahabusu mwanza butimba. inauma na kusikitisha sana
Nimecheka sana hayo maneno ya mwishoMwenye pesa anaweza kufanywa chochote. Zamani mwenye pesa aliweza kufanya chochote. Kibao kimegeuzwa. Mshenzi mkubwa Zakaria amewatesa watu sana. Sasa zamu yake. Papuchi ataisoma kwenye magazeti....
Yeye kama wewe hamna busara kabisa.vipi aliwahi kukupigia pumb.u mama yako nini.
Yeye kama wewe hamna busara kabisa.vipi aliwahi kukupigia pumb.u mama yako nini.
Fanya kazi acha wivu wa kipumb.avu. Mwanaume kupiga pum.bu ni kawaida tu, kama alikugongea na wewe tafuta mdhaifu wako, ndo dunia ilivyo na siyo kulialia.Yeye kama wewe hamna busara kabisa.
Uyo c alikua anasafirisha watu buree kuwapeleka kwenye kampeni za magu furahisha mwnza?na hata bus zake zilikua zimeandikwa HAPA KAZI TU mpk mwaka jana nlikua naonamzee baba jamaa kashamalizwa waliamua wampe kes ya kuhujumu uchumi ili akae gerezan mda mrefu cha kusikitisha na mke wake naye yuko jera mume yuko mahabusu musoma wakati mke wake yuko mahabusu mwanza butimba. inauma na kusikitisha sana
Huyu ni mhalifu alikua anawaonyesha yeye na wao dam dam ndio maana polisi walikua wakimuona wanajiharishia. Ndugu yangu Kweka aliyekua maneja wa TRA Mara miaka ya iliyopita aliwahi kukamata lori lake likiwa na mafuta ya magendo. Kilichompata Kweka mpaka leo hatakaa asahau. Hata alibyorudishwa Dar aliendelea kunyanyaswa na mabosi wake kwa nguvu za mhalifu Zakaria. Ngoja nae aonje joto ya jiweUyo c alikua anasafirisha watu buree kuwapeleka kwenye kampeni za magu furahisha mwnza?na hata bus zake zilikua zimeandikwa HAPA KAZI TU mpk mwaka jana nlikua naona
Wivu wa kipumb.avu kabisa.Huyu ni mhalifu alikua anawaonyesha yeye na wao dam dam ndio maana polisi walikua wakimuona wanajiharishia. Ndugu yangu Kweka aliyekua maneja wa TRA Mara miaka ya iliyopita aliwahi kukamata lori lake likiwa na mafuta ya magendo. Kilichompata Kweka mpaka leo hatakaa asahau. Hata alibyorudishwa Dar aliendelea kunyanyaswa na mabosi wake kwa nguvu za mhalifu Zakaria. Ngoja nae aonje joto ya jiwe
Utakosa usingizi kwa kutetea uovu. Hakika yule mjinga hatumuachiii. Hata mroge.Wivu wa kipumb.avu kabisa.