Kesi ya Wema Sepetu hadi mwakani

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
3,161
2,000
Kutumia dawa za kulevya inayomkabili, msanii wa filamu Wema Sepetu ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu lakini haikuweza kusikilizwa kwa sababu wakili wake hakuwepo.

Kesi hiyo ilitarajiwa kusikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, ambapo Wakili wa Serikali, Costantine Kakula alieleza kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuendelea na ushahidi wa mashahidi wawili.

Wakili wa utetezi, Devotha Kiangakwa upande wake alieleza kuwa anamuwakilisha Wakili Peter Kibatala ambaye anamtetea Wema na wenzake ambaye amekwenda Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kwenye kesi namba 85 ya mwaka 2016, hivyo anaomba kesi hiyo iahirishwe hadi tarehe nyingine.

Kutokana na maelezo hayo, Hakimu Simba aliiahirisha kesi hiyo hadi January 10, 2018.


Muungwana
 

Jiwedogo

JF-Expert Member
May 23, 2017
2,820
2,000
IMG-20171213-WA0003.jpg
 

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
9,887
2,000
Kesi ishanunuliwa na Bashite. Mazingaombwe yanaendelea. Abracadabra mpaka kuchwe siku zinasonga.
 

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,952
2,000
Mapenzi na mke wa MTU ni ya kitambo sana! Baada ya muda humkumbuka mumewe na kuamua kumrudia! Pole kwa waliofurahia penzi la mke wa MTU!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom