Kesi ya Wabunge 8 na madiwani wawili wa CUF, imeendelea leo

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
TAARIFA RASMI YA CUF JUU YA MAAMUZI YA MASHAURI MBALIMBALI YALIYOSIKILIZWA LEO TAREHE 30/8/2017:

THE CIVIC UNITED FRONT
(CUF-CHAMA CHA WANANCHI)

TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI

MBELE YA MHE. JAJI MWANDAMBO:

Shauri namba 479/2017 maombi ya Wabunge 8 na madiwani wawili kuhusu Maombi ya Zuio: shauri halikuweza kusikizwa na kutolewa maamuzi. Wanasheria wa Manispaa ya Ubungo na Temeke wameweka PINGAMIZI juu ya kuendelea leo kusikiliza Maombi yaliyowasilishwa. Mhe. Jaji amepanga ratiba ya kuwasilisha Mapingamizi hayo na Majibu kwa pande zote mbili pamoja na kuwasilisha kwa maandishi (written Submission) za maombi ya Zuio. Mahakama imepanga kutolea maamuzi masuala yote mawili Pingamizi na Zuio siku ya Ijumaa ya Tarehe 8 Septemba, 2017

MBELE YA MHE. NDYANSOBERA:
1. Shauri Jipya la Madai Miscelleneous Civil Cause no. 69/2017 kati ya WAbunge 19 dhidi ya Lipumba na Seif Sharif Hamad limepangwa Kusikilizwa Kesho Tarehe 31/8/2017 saa 8 Mchana.

2. Shauri la Madai (Miscelleneous Civil Application No.28/2017) shauri hili ndilo lililoweka Zuio ya Ruzuku isitolewe. Limepangwa kusikilizwa Tarehe 20 Septemba, 2017. ZUIO LA MAHAKAMA KUHUSU KUTOLEWA KWA FEDHA ZA RUZUKU HALIJAONDOLEWA. FEDHA ZA RUZUKU TSHS 1.518 BILIONI ZIKO SALAMA.

3. shauri Namba 68/2017 kureplace’ shauri namba 21/2017 lililoondolewa kuhusu Kesi ya msingi ya wizi wa fedha za Ruzuku imepangwa kutajwa Tarehe 20 Septemba, 2017.
4. Shauri la Madai (Civil Case No. 13/2017) linahusu uhalali wa wajumbe wa bodi ya wadhamini ya CUF iliyosajiliwa na RITA- Ally Salehe dhidi ya Lipumba na wenzake. Imepangwa kutajwa Tarehe 5 Oktoba, 2017 baada ya uwasilishaji wa majibizano ya maandishi (Written Submission) kwa pande zote mbili kwa ratiba iliyowekwa.

5. Shauri la Jinai namba 50/2017 (Contempt of Court Proceedings)-shauri hili dhidi ya Lipumba na wenzake, Emmy Hudson-RITA, Franscis Mutungi linahusiana na kughushi nyaraka na kutaka kuingilia mwenendo wa mashauri yaliyopo mahakamani. Limepangwa Tarehe 20 Septemba, 2017.

KESHO TAREHE 31/8/2017:
Shauri la msingi la madai namba 143/2017 kati ya wabunge na lipumba na wenzake (14) litasikilizwa.

PONGEZI ZA DHATI ZIWAENDEE JOPO LA WASOMI MAWAKILI WETU:

Mawakili wetu wote waliowakilisha kesi hizi kwa ujumla wamefanya kazi kwa Ari na Juhudi kubwa kuhakikisha kuwa Haki inasimamiwa na kupatikana. Msomi Wakili Juma Nassor, Msomi Wakili Daimu Halfani, Msomi Wakili Hashimu Mziray, Msomi Wakili Mpare Kabe Mpoki, Msomi Wakili Mohamed Tibanyendera, Msomi Wakili Fatma Karume. Msomi Wakili Peter kibatara, Msomi Wakili Omary

CUF NI TAASISI IMARA, YENYE VIONGOZI MAKINI.

HAKI SAWA KWA WOTE

Imetolewa leo Tarehe 30/8/2017
Na. Kurugenzi ya Habari, Uenezi Na Mahusiano Na Umma-CUF Taifa

SALIM BIMAN
MKURUGENZI
 
Mkuu Biman ondoa shaka , Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Tarehe tano si ndio wale wabunge feki wataapisha?

Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
 
naomba anaye fahamu anijuze, nilisikia kuwa wabunge wapya walioteuliwa wata apishwa hivi karibuni hii imekaaje?
 
Tuombe maamuzi kutoka juu yasije kuharibu mwenendo wa kesi hizo. Pia tuziombee mahakama zitoe hukumu kwa mujibu wa sheria maana Pro Pesa yule nguvu yake iko mikononi mwa watu na sio kwenye sheria. Vifungu vilishaanza kupindishwa kuanzia kwa Msajili wa vyama vya siasa, Spika wa bunge, nk
 
Mawakili wetu wote waliowakilisha kesi hizi kwa ujumla wamefanya kazi kwa Ari na Juhudi kubwa kuhakikisha kuwa Haki inasimamiwa na kupatikana. Msomi Wakili Juma Nassor, Msomi Wakili Daimu Halfani, Msomi Wakili Hashimu Mziray, Msomi Wakili Mpare Kabe Mpoki, Msomi Wakili Mohamed Tibanyendera, Msomi Wakili Fatma Karume. Msomi Wakili Peter kibatara, Msomi Wakili Omary
Wote hawa wamekataa kutii amri ya Rais kugoma?
 
Back
Top Bottom