Leo mida yaa saa 7 mchana, mahakamani kisutu shauri ya kesi iliyofunguliwa na Joseph Kusaga (clouds entertainment) dhihi ya Mapacha ( Vinega). VINEGA wote na wapenda harakati za Anti virus, kama vipi tutokee kwa wingi kuonyesha support. WITH NO APOLOGY
bora wakamatwe na hatia tu wafungwe ili wapunguze kuvuta bangi
Kwa faida ya wale tusiokuwa na taarifa ya hili tukio unaweza kutoa ufafanuzi, ni akina nani wanaoshitakiwa i mean majina yao na ni mashitaka gani hayo?
bora wakamatwe na hatia tu wafungwe ili wapunguze kuvuta bangi
wanashtakiwa kwa makosa gani?wanaoshitakiwa ni doctor K na D wa mapacha
hujaeleweka hapamkaa mzima wa Dodoma.
hujaeleweka hapa
Vinaga watashinda nguvu ya umma ipo imara.
Great Thinkers tumemwelewa.....hujaeleweka hapa
Hv maana ya hilo jina vinega ni nini?
Hv maana ya hilo jina vinega ni nini?
Hv maana ya hilo jina vinega ni nini?