Tanganyika inanukia!!Ile case ilio funguliwa na wazanzibari 40,000 kudai uhalali wa muungano (jamuhuri ya muungano wa tanganyika na Zanzibar) ambayo case hio ilikuwepo EAC Court tuna taarifa kusogea mbele kwa mbele.
Baada ya serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania chini ya waziri wa mambo ya nje kuiyandikia barua mahakama ya EAC kujitoa, imeipa uhalali na njia rahisi zaidi case hii ya madai ya wazanzibari kwenda kimataifa zaidi.
Sasa case hii kupelekwa international court of justice huko ulaya Netherlands .
Tunawaombea mafanikio mema wazanzibari wenzangu, naamini haki itapatika Insha Allah