KESI YA UCHOCHEZI: Tundu Lissu apandishwa kizimbani, apata dhamana, kesi yaahirishwa hadi Agosti 2

img-20160630-wa0049-jpg.361468

ona huyo dume kulia chupi hiyo nyejundu iko nje anatuonyesjha makalio yake Ee mwenyezi Mungu tuepushie watoto wa kiume wasije jitosa kwenye ushoga wakawa wanajianika hovyo kila mahali kujiuza.
Naona ushaishiwa hoja na kuanza kutoka kwenye mada
 
img-20160630-wa0049-jpg.361468

ona huyo dume kulia chupi hiyo nyejundu iko nje anatuonyesjha makalio yake Ee mwenyezi Mungu tuepushie watoto wa kiume wasije jitosa kwenye ushoga wakawa wanajianika hovyo kila mahali kujiuza.

Punguza hasira ulijua hawataenda kumsindikiza mandela wetu we umeona hicho katika picha!!
 
Mh Tundu Lissu a pandishwa kizimbani Muda huu mahakama ya kisutu kwa zile tuhuma za maneno ya kuudhi, nunachokisubiri hapa ni maneno mengine yenye tafsiri nyingine kwa watu wengine atakayoitoa leo baada ya kupata dhamana panapo majaliwa. Ndio kwanza kumekucha mapambano yataendelea.
Ahsante mleta uzi ndugu Nizzoh Afrika Mwanaharakati
 
Back
Top Bottom