Kesi ya Uchaguzi Igunga

nafikiri jaji anatakiwa awe makini, kwasababu mnaweza kuona kama amewamaindi ccm, kumbe yeye anaweza kukurupuka kufanya chochote huku akilini mwake akiwa ametengeneza mazingira ya hao kina ccm kuja kushinda kesi kwenye rufaa, hivyo namshauri aende polepole tu ili haki itendeke na kama hukumu ikitoka dhidi ya ccm, basi pasiwepo mianya ya kukata rufaa na kushinda kwenye rufaa....majaji wengi na mahakimu wamekuwa wakifany ivi....wanaangalia mianya yote ya kuharibu kesi wakiona haiwezekani, wanatoa hukumu nzuri tu, lakini ndani ya hukumu ile na ndani ya mwenendo mzima wa kesi kuanzia mwanzo hadi mwisho anaweka mazingira yatakayokuja kuonyesha kuwa alikosea na hivyo hao waliohukumiwa kushinda kwenye rufaa.
 
Mimi anachonifurahisha Magufuli ni staili yake ya kubinua kamdomo wakati anazungumza kwa kujishaua. Huenda John Komba aliliona hilo na ameshalifanyia kazi, maana jamaa nasikia yeye hachagui!
 
Mimi anachonifurahisha Magufuli ni staili yake ya kubinua kamdomo wakati anazungumza kwa kujishaua. Huenda John Komba aliliona hilo na ameshalifanyia kazi, maana jamaa nasikia yeye hachagui, eti anadai hata Juma akienda Mbeya kwa heshima anaweza tu kuitwa "Mwa"Juma!
 
Mimi anachonifurahisha Magufuli ni staili yake ya kubinua kamdomo wakati anazungumza kwa kujishaua. Huenda John Komba aliliona hilo na ameshalifanyia kazi, maana jamaa nasikia yeye hachagui, eti anadai hata Juma akienda Mbeya anaweza tu kuitwa "Mwa"Juma!
 
hivi siku hizi saa 48 zimesogea mbele?
zinafikia siku ngapi maana hata zitto alisema anarusha mkanda wa kilichotokea kwenye leka tudigite mpaka leo hajaupata huo mkanda.
 
Back
Top Bottom