Kesi ya Tundu Lisu-polisi waliniomba million moja kufuta kesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Tundu Lisu-polisi waliniomba million moja kufuta kesi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 27, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,414
  Likes Received: 5,684
  Trophy Points: 280
  Jamani tunapoelekea ni pabaya kuliko, kama una mazoea ya kusali kila uamkapo asubhi mwambie Mungu awasamehe polisi wote wa Tanzania na kuwaondolea roho ya tamaa za pesa ngono na uuwaji.

  Unajua hata kuua ni tamaa kuna mtu asipoua mwaka unakuwa mgumu, so hawa watu msiache kuwaombea kila mara jamani wana mapepo na mbaya awajali wanaomba wapi rushwa.

  Kama uliona taarifa ya habari majuzi wakati Tundu lisu wanatolewa wakasema kuna member mmoja wa haki za binadamu nae alikuwa ndani ya list na baada ya muda akahojiwa na kudai mimi wameniambia nitafute milion moja upelelezi uishe sio ukamilike uishe na kuisha unaelewa maana yake.

  Wewe na mimi tujuilize jamani Segerea na Keko na magereza mengine wamejazwa wakina Tundu Lisu, wangapi kisa kushindwa kutoa hongo.

  Mwisho wanatua wanaishia kusema bwana ametoa mara ametwaa

  Kazi ipo.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Duhh! Hakika kazi ipo kweli kweli. Ha2fiki kwa hali hii.
   
Loading...