Kesi ya samaki wa magufuli ikoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya samaki wa magufuli ikoje?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mongoiwe, Nov 4, 2009.

 1. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Mahakamani kuna Raia 32 kama washitakiwa wa kesi ya kukamatwa wakifanya uvuvi kwenye pwani ya ya Tanzania ya Bahari Hindi bila ya kuwa na leseni.

  Washitakiwa hao wanadaiwa kukutwa na tani 296 za samaki waliokuwa wamehifadhiwa ndani ya meli ya Tawaliq 1. Samaki hao wana thamani ya jumla ya Sh2.7 bilioni.

  Ninataka kujua kwa wale wenye kufahamu;
  a). Washitakiwa wameshitakiwa kwa kosa/makosa gani mahakamani?,
  b). Pia wanashitakiwa kwa sheria ipi
  c). Wanashitakiwa kwa makosa mangapi?
  d). Sheria wanayoshitakiwa ni ya mwaka gani?
  Nitashukuru sana iwapo nitasaidiwa kwa hayo maswali yangu machache, kwani nimeona ni vyma nikaelewa hayo kabla sijaingia katika mjadala kwani nimesoma sana katika magazeti na sijajua makosa na sheria wanakabiliwa nayo.
   
Loading...