Kesi ya Nzowa na Kova kugombea nyumba yaanza leo

Kesi ya Nzowa na Kova kugombea nyumba yaanza leo

kova si uwambie familia takatifu wakujengee nyumba maana ulikuwa unapenda kupga selfie na wale watoto watakatifu......
 
Nyumba IRUDISHWE serikalini...

Haya majipu sugu, na Magufuli atawafikia tu, ASAP nyumba ya serikali ibakie ya Serikali...!! Kova atakuwa ali honga watumishi wa umma akiwa madarakani KUINUNUA NYUMBA HIYO....

So, Magufuli anza na haya majipu yamejileta yenyewe...!!! Ww yapasue fasta.... majizi haya..!!
ha ha ha mkuu unasahau haraka sana,
hakuna mtu anayeweza kujikamua jipu yeye mwenyewe
 
Kesi rahis sana alokuwa wazir kwenye dhamana enz hizo aitwe akatoe ushaid ili konogesha utamu wa kesi ya vigogo
 
KOVA+NEW.jpg


Source Mwananchi!!
 
Nyumba zote za wananchi zirudishwe .nyumba sio za serekali ni za wananchi serekali zinakuja na kupita .bunge letu lirudishe nyumba zote za wananchi
 
Nyumba utakufa utaiacha,sijui kwanini watu wako obssesed sana na nyumba ama sijui kiwanja

Mkuu binadamu wa sasa sio kama wa zamani....zamani mzazi akiona umekuwa mkubwa anatukitimulia mbali yeye kazi kupanda wanawake na kuwatia mimba tu....mana hawakuwa na majukumu ya kulea watoto.....kizazi hiki cha babazetu wana tunza family mwanzo mwisho....na ikionekana mzazi kafariki nyumba inalisishwa kwa family.
 
Back
Top Bottom