Kama ambavyo akina Kingai hawakujipanga ndivyo na Akina Robert Kidando hawakujipanga.Hatuingilii mwenendo wa Mahakama lakini kuna mambo yapo dhahiri ambayo, laiti kama Jaji angekuwa makini, Mawakili wa Serikali wasingekuwa wanaichezea Mahakama kama wanavyofanya.
IGP naona kama kajificha. Yale makamera yamepotea kabisaHii kesi imelenga kumdhoofisha Mbowe,lakini imekuwa kinyume chake.
IGP na timu yake wamefeli pakubwa.Wawajibike!😁
Polisi ndio walalamikaji, washtaki, wapelelezi, wachunguzi n.kIngekuwa jambo zuri kuundwa kwa tume huru kuchunguza mienendo ya task forces zilizokuwepo na kuchunguza watu kama kina Swila, Goodluck , Jumanne, Mahita pamoja na watu waliokuwa wakiwapa orders.
Walidhani wanamkomoa Mbowe na Chadema.Kiukweli kinacho watokea Jamhuri kwenye hii kesi, ni aibu tu na ambayo hawakuitarajia hata kidogo.
Na wafahamu fika Watanzania wengi tunaifuatilia hii kesi kwa umakini mkubwa, ili kujua mwisho wake.
Ana kauli aliitoa mwanzo kabisa,alisema Mbowe si malaika,hawaonekani kulithibitisha hilo!IGp naona kama kajificha. Yale makamera yamepotea kabisa
Hatimaye Muda umekuwa na ukweli zaidi.Rais hakudanganywa kwa Sababu yeye ndiye aliamulu Mbowe akamatwe kisa na mkasa ni katiba mpya. Hangaya alidai wasubili asimamishe uchumi akina Mbowe wakakataa hivo Rais akaona kama vile kazalauliwa. Mama akaamua kutumia mamlaka kumdhibiti Mbowe.
Walidhani wanamkomoa Mbowe na Chadema.Mashahidi wa mchongo, ugonjwa wa mchongo, mawakili wa mchongo
Waliyataka wenyewe, acha wajibebe.Kiukweli kinacho watokea Jamhuri kwenye hii kesi, ni aibu tu na ambayo hawakuitarajia hata kidogo.
Na wafahamu fika Watanzania wengi tunaifuatilia hii kesi kwa umakini mkubwa, ili kujua mwisho wake.
Na ndio mashahidi pia.Polisi ndio walalamikaji, washtaki, wapelelezi, wachunguzi n.k
Mkuu iache ibaki hivyo hivyo.Hatuingilii mwenendo wa Mahakama lakini kuna mambo yapo dhahiri ambayo, laiti kama Jaji angekuwa makini, Mawakili wa Serikali wasingekuwa wanaichezea Mahakama kama wanavyofanya.
Mathalani, leo mawakili wa Serikali wanasema eti shahidi hawezi kuendelea na kuhojiwa kwa sababu ameshauriwa na daktari kupumzika kwa siku mbili. Tuamini kuwa habari hii ya kutengenezwa ni ya kweli.
Halafu wanasema, hata kesho hawawezi kuleta shahidi mwingine kwa sababu wanaweza wasimpate. Mambo ya kujiuliza:
1) Kama shahidi asingeugua jana, huenda Kibatala angemaliza cross examination jana, na leo serikali ingetakiwa kuwa na shahidi mwingine. Kwa maelezo ya hawa mawakili wa serikali kuwa hawana shahidi ambaye yupo tayari kuja kesho kutoa ushahidi wake, ina maana hata kama Kibatala angemaliza cross examination jana, leo wasingeleta shahidi mwingine? Au walifahamu toka mwanzo kuwa shahidi angeugua jana?
2) Baada ya shahidi kuugua jana, na kisha kwenda hospitali, ilitegemewa leo angekuja mahakamani. Na kama angekuja mahakamani, basi Kibatala huenda angemaliza cross examination yake leo, na kesho serikali ingehitajika kuleta shahidi mwingine. Hawa mawakili wa serikali wanaosema hawana shahidi wa kumleta kesho ili kesi iendelee, ina maana hata kama Kibatala angemaliza cross examination leo, kesho wasingeweza kumleta shahidi mwingine? Au walijua toka jana au juzi kuwa shahidi angeugua jana, leo angeambiwa na daktari apumzike kwa siku 2, na hivyo cross examination isingemalizika leo, na hivyo kutokuwepo umuhimu wa kuandaa shahidi mwingine?
Polisi na Mawakili wa Serikali wasiichezee mahakama na wasiwafanye watanzania wote ni wajinga. Wafahamu kuwa huku nje ya polisi na nje ya Serikali, kuna watu wana akili na weledi hata wa kuwazidi wao maradufu.
Hoja zako zinafikirisha Sana,japo inasadikika kuwa mawakili wote mpaka jaji siyo wa dar es salaam, hivyo kila siku wanayospend Dar wana per diem.Hatuingilii mwenendo wa Mahakama lakini kuna mambo yapo dhahiri ambayo, laiti kama Jaji angekuwa makini, Mawakili wa Serikali wasingekuwa wanaichezea Mahakama kama wanavyofanya.
Mathalani, leo mawakili wa Serikali wanasema eti shahidi hawezi kuendelea na kuhojiwa kwa sababu ameshauriwa na daktari kupumzika kwa siku mbili. Tuamini kuwa habari hii ya kutengenezwa ni ya kweli.
Halafu wanasema, hata kesho hawawezi kuleta shahidi mwingine kwa sababu wanaweza wasimpate. Mambo ya kujiuliza:
1) Kama shahidi asingeugua jana, huenda Kibatala angemaliza cross examination jana, na leo serikali ingetakiwa kuwa na shahidi mwingine. Kwa maelezo ya hawa mawakili wa serikali kuwa hawana shahidi ambaye yupo tayari kuja kesho kutoa ushahidi wake, ina maana hata kama Kibatala angemaliza cross examination jana, leo wasingeleta shahidi mwingine? Au walifahamu toka mwanzo kuwa shahidi angeugua jana?
2) Baada ya shahidi kuugua jana, na kisha kwenda hospitali, ilitegemewa leo angekuja mahakamani. Na kama angekuja mahakamani, basi Kibatala huenda angemaliza cross examination yake leo, na kesho serikali ingehitajika kuleta shahidi mwingine. Hawa mawakili wa serikali wanaosema hawana shahidi wa kumleta kesho ili kesi iendelee, ina maana hata kama Kibatala angemaliza cross examination leo, kesho wasingeweza kumleta shahidi mwingine? Au walijua toka jana au juzi kuwa shahidi angeugua jana, leo angeambiwa na daktari apumzike kwa siku 2, na hivyo cross examination isingemalizika leo, na hivyo kutokuwepo umuhimu wa kuandaa shahidi mwingine?
Polisi na Mawakili wa Serikali wasiichezee mahakama na wasiwafanye watanzania wote ni wajinga. Wafahamu kuwa huku nje ya polisi na nje ya Serikali, kuna watu wana akili na weledi hata wa kuwazidi wao maradufu.
Mijadala kama hii ni kwaajili ya wenye akili timamu tu. Siyo kwa mtu kama wewe.Hao ni magaidi na waasi
Mina akili timamu mkuuMijadala kama hii ni kwaajili ya wenye akili timamu tu. Siyo kwa mtu kama wewe.
Maswali hayo hayo ya kipuuzi, Askari wenu aliharisha kila kitu, na sasa hivi anapumulia mashine! Na kuna wakati kesi ikiendelea alipigwa maswali ya ‘kipuuzi’ mpaka akanena kwa lugha baada ya kupandisha mashetani!Huyo wakili wenu mnamwita msomi ndio anarefusha kesi kwa maswali ya kipuuzi
.
Wakili:siku flani ulikula wali nyama
Shahidi:ndiyo
Wakili:na maji?
Shahidi:ndiyo
Wakili:yanaitwaje?
Shahidi sikumbuki
Wakili:ulipewa ndizi?
Shahidi hapana
Wakili:kwanini hukupewa?
Bla , blaah ,blaah blaa
Kesi imeahirishwa.
Lmao wtf.
Kila ubaya utalipwaHatuingilii mwenendo wa Mahakama lakini kuna mambo yapo dhahiri ambayo, laiti kama Jaji angekuwa makini, Mawakili wa Serikali wasingekuwa wanaichezea Mahakama kama wanavyofanya.
Mathalani, leo mawakili wa Serikali wanasema eti shahidi hawezi kuendelea na kuhojiwa kwa sababu ameshauriwa na daktari kupumzika kwa siku mbili. Tuamini kuwa habari hii ya kutengenezwa ni ya kweli.
Halafu wanasema, hata kesho hawawezi kuleta shahidi mwingine kwa sababu wanaweza wasimpate. Mambo ya kujiuliza:
1) Kama shahidi asingeugua jana, huenda Kibatala angemaliza cross examination jana, na leo serikali ingetakiwa kuwa na shahidi mwingine. Kwa maelezo ya hawa mawakili wa serikali kuwa hawana shahidi ambaye yupo tayari kuja kesho kutoa ushahidi wake, ina maana hata kama Kibatala angemaliza cross examination jana, leo wasingeleta shahidi mwingine? Au walifahamu toka mwanzo kuwa shahidi angeugua jana?
2) Baada ya shahidi kuugua jana, na kisha kwenda hospitali, ilitegemewa leo angekuja mahakamani. Na kama angekuja mahakamani, basi Kibatala huenda angemaliza cross examination yake leo, na kesho serikali ingehitajika kuleta shahidi mwingine. Hawa mawakili wa serikali wanaosema hawana shahidi wa kumleta kesho ili kesi iendelee, ina maana hata kama Kibatala angemaliza cross examination leo, kesho wasingeweza kumleta shahidi mwingine?
Au walijua toka jana au juzi kuwa shahidi angeugua jana, leo angeambiwa na daktari apumzike kwa siku 2, na hivyo cross examination isingemalizika leo, na hivyo kutokuwepo umuhimu wa kuandaa shahidi mwingine?
Polisi na Mawakili wa Serikali wasiichezee mahakama na wasiwafanye watanzania wote ni wajinga. Wafahamu kuwa huku nje ya polisi na nje ya Serikali, kuna watu wana akili na weledi hata wa kuwazidi wao maradufu.
ACP Kingai na DCI Robert BoazIngekuwa jambo zuri kuundwa kwa tume huru kuchunguza mienendo ya task forces zilizokuwepo na kuchunguza watu kama kina Swila, Goodluck , Jumanne, Mahita pamoja na watu waliokuwa wakiwapa orders.