Kesi ya Mbowe: Kwanini ushahidi hauna exhibits za kisayansi?

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,821
Kwa kesi kama hii ya ugaidi tulitegemea Jamhuri wameandaa vielelezo vya kisayansi ukizingatia dunia ya sasa ni sayansi na teknolojia na ikizingatiwa sensitivity ya kesi yenyewe ya ugaidi

Jamhuri ilishindwa nini kuchukua fingerprints za aliyekutwa na bastola,pia nasikia hawana voice note za Mbowe na kundi lake wakifanya mipango ya kulipua vituo .

Je huu ndo ushahidi tulioahidiwa na Sirro?

Unapoleta mahakamani exhibits ambazo hazina direct contact au body contact na mtuhumiwa ,tuna mashaka na kesi za ugaidi kama ndivyo zilivyo
 
Shahidi wa Jana amenishangaza Sana ...anasema amefanya investigations lkn anaulizwa viongozi wapi walitaka kudhuriwa anasema Sabaya na wengine Sabaya....taja na wengine Sabaya ...

Kituo gan kilikuwa kwny uratibu wa kulipuliwa kimyaa...

Majibu yake na ukiambiwa alikuwepo field wakati wa ukamataji unaweza kushangaa...
 
Siku zote fiction haiwezi kuwa na uhalisia,utafurukuta kuna sehemu utachemsha
 
Gaidi anaachwa mpaka anashiriki uchaguzi..🤣🤣🤣🤣

Na kwa msingi huo huenda hata sasahivi serikalini kuna MAGAIDI na polisi wanajua kabisa flani na flani ni Magaidi ila wanawavutia pumzi tu!!

Magaidi walikua na Bastola yenye risasi tatu zitakazolipua petrol stations kadhaa katika majiji yote ya Tanzania.(Hapo lazima Yesu angefanya Muujiza kama ule wa mikate Ili risasi ziwepo za kutosha).. na katika hizo risasi 3 police walikopa mbili...

Magaidi waliplan kukata magogo na kuyasambaza kilomita 800+..

Ugaidi wa Tanzania ni very unique.
 
Diary ipo imefanyiwa uchunguzi wa kisayansi ni suala la muda tu
 
Kwa kesi kama hii ya ugaidi tulitegemea Jamhuri wameandaa vielelezo vya kisayansi ukizingatia dunia ya sasa ni sayansi na teknolojia na ikizingatiwa sensitivity ya kesi yenyewe ya ugaidi

Jamhuri ilishindwa nini kuchukua fingerprints za aliyekutwa na bastola,pia nasikia hawana voice note za Mbowe na kundi lake wakifanya mipango ya kulipua vituo .

Je huu ndo ushahidi tulioahidiwa na Sirro?

Unapoleta mahakamani exhibits ambazo hazina direct contact au body contact na mtuhumiwa ,tuna mashaka na kesi za ugaidi kama ndivyo zilivyo
Subiri usiwe na haraka, ushahidi madhubuti utakuja nao unahusu kukata miti baada ya kuvuta bangi na kuitandaza barabarani kuanzia Dar mpaka Iringa! Mashoka na mapanga yapo na TBS wamethibitisha ubora wake.
 
Kwa kesi kama hii ya ugaidi tulitegemea Jamhuri wameandaa vielelezo vya kisayansi ukizingatia dunia ya sasa ni sayansi na teknolojia na ikizingatiwa sensitivity ya kesi yenyewe ya ugaidi

Jamhuri ilishindwa nini kuchukua fingerprints za aliyekutwa na bastola,pia nasikia hawana voice note za Mbowe na kundi lake wakifanya mipango ya kulipua vituo .

Je huu ndo ushahidi tulioahidiwa na Sirro?

Unapoleta mahakamani exhibits ambazo hazina direct contact au body contact na mtuhumiwa ,tuna mashaka na kesi za ugaidi kama ndivyo zilivyo
Sayansi haiitaji ubabaishaji,kwa kuwa hata sample za utafiti huo hazipo ,sasa unatafiti nini🤸.
 
Gaidi anaachwa mpaka anashiriki uchaguzi..🤣🤣🤣🤣

Na kwa msingi huo huenda hata sasahivi serikalini kuna MAGAIDI na polisi wanajua kabisa flani na flani ni Magaidi ila wanawavutia pumzi tu!!

Magaidi walikua na Bastola yenye risasi tatu zitakazolipua petrol stations kadhaa katika majiji yote ya Tanzania.(Hapo lazima Yesu angefanya Muujiza kama ule wa mikate Ili risasi ziwepo za kutosha).. na katika hizo risasi 3 police walikopa mbili...

Magaidi waliplan kukata magogo na kuyasambaza kilomita 800+..

Ugaidi wa Tanzania ni very unique.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom