Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

Si umerudi pale pale tulipoanzia mwanzo? Umewahukum masheikh wa watu kwa kuwatuhum tuhuma nzito nzito...nikasema tuache vyombo husika vifanye kazi zao. Nikakuuliza unauhakika hawa wanahusika na tuhuma zote zimeandikwa hapo juu?

Bora unstambua kwamba hakimu wa kweli na anaetoa haki ni Mungu pekee.

Ni kweli na unapowaombea shufwaa kwa kuwa Siri anayo Mungu na watendaji wenyewe kumbuka vilevile kuwaombea ambao walipata vilema katika.maisha yao wapo ,.wanateseka hadi leo kisa kutofautiana kiitikadi, wakumbuke waliofariki kwa vuguvugu na hamasa.zao yawezekana hawakufanya wao ikawa ni wafuasi wao waliojaa jazba ya Daawa waliolishwa na kwenda kuyatekeleza bila.wahamasishaji kujua.lakini kisheria wahamasishaji.ni SINE QUO NON
 
Ukweli uliopo kwenye mahakama zetu ni kwamba, unatafutiwa kosa, hata kwa kulazimisha. Unawekwa ndani halafu upelelezi unaendelea. Kwa vile hukufanya hilo kosa, upelelezi haukamiliki hadi mtuhumiws anakufia mahabusu!

Waendesha mashtaka Mungu atawalipa kwa dhulma wanayofanya dhidi ya hao masheikh. Na wale waliowaweka ndani kama ni waislamu ama wasio waislamu Allah atawalipa kwa dhulma hiyo. Acha waendelee kula bata na familia zao huku masheikh wakiteseka gerezani.
Usalama ndio wanajua

Kama usalama ndio wanajua, why ninyi wananchi muwatuhumu wao ni magaidi, na wengine kung'ang'ana wasitoke!!! Hamuoni kuwa mnakosea!!!!
 
Mkuu saivi acha watoke maana muda waliokaa ndani washajifunza
 
Jamhuri !
Wamewekwa kama utaratibu wa watuhumiwa wengine wanavyowekwa.
Sitegemei kuona akilaumiwa JK, Urais ni taasisi ikiwemo vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Kwa hiyo unataka hao waalimu wa kuchinja binaadamu waachiwe wakaendeleza chinja chinja yao huko Cabo del gardo sio?
 
Tanzania hakuna ugaidi, na hakujawai tokea matendo ya kigaidi, vyombo vya ulinzi vipo makini, na kingine asili ya watanzania ni waoga na wanyenyekevu, hao masheikh issue yao walikuwa wanapinga muungano, na serikali imeapa kuulinda muungano kwa namna yoyote ile
We M..k.n..d.. kweli kweli, au kwa kuwa kule Mtwara kijiji cha Kitaya hauna ndugu huko!! watu wamechinjwa kama kuku halafu wewe unaleta u maku wako hapa!!
 
Nazani jibu ni wakati ambao mwenyewe unaona jinsi kesi inavyokwenda haraka kutoka kwenye utawala ambao ulikataa hata waandishi wa habari kuandika muendelezo wa kesi
Peni inaogopwa popote duniani na dictator...usiichezee peni ,balaaa lake silakitoto
 
Katika moja ya matendo maovu na kuvunja kaki za binadamu yaliyokuwa yanafanywa na utawala wa huko nyuma ni Haya, Yaani mtu unateswa na kupewa kifungo hata kabla mahakama haijakuhukumu, HILI NI KOSA KUBWA SANA NA KWA MAUMIVU WALIYOYAPATA HAWA, MUNGU AWEZA TOA HUKUMU MBAYA KWA WALIOSABABISHA MATESO HAYA, FIKIRIA RUMANDE MIAKA 8, HII HAIPO MAHALI POPOTE DUNIANI HATA GUANTANAMO BAY YA MAREKANI HAIJAIFIKIA
Mahubiri yao yalikuwa na Nia ovu Sana Hawa sio wa kuonea huruma
 
Katika moja ya matendo maovu na kuvunja kaki za binadamu yaliyokuwa yanafanywa na utawala wa huko nyuma ni Haya, Yaani mtu unateswa na kupewa kifungo hata kabla mahakama haijakuhukumu, HILI NI KOSA KUBWA SANA NA KWA MAUMIVU WALIYOYAPATA HAWA, MUNGU AWEZA TOA HUKUMU MBAYA KWA WALIOSABABISHA MATESO HAYA, FIKIRIA RUMANDE MIAKA 8, HII HAIPO MAHALI POPOTE DUNIANI HATA GUANTANAMO BAY YA MAREKANI HAIJAIFIKIA
siku moja utajutia hii comment yako.
Tuombe Mungu yasitokee
 
Back
Top Bottom