Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,468
- 7,733
Huyu jamaa anapendwa Sana na kufatiliwa mno.
HakikaLissu ni dhabahu , magazeti na blogs zote wanapata pesa juu ya habari za lissu....Nuru yang'aa gizani
Shetani hajawahi kumshinda MunguTunafatilia ili kuona anatendewa haki , na asiponyongwa itakua amedhulumiwa haki yake ya kisheria