Kesi ya Lissu: Mawakili wa serikali tendeni haki. Mlitaka ahirisho la wiki mbili mkakataliwa, leo mmeleta shahidi. Mlitaka ateseke jela?

Kesi ya Lissu: Mawakili wa serikali tendeni haki. Mlitaka ahirisho la wiki mbili mkakataliwa, leo mmeleta shahidi. Mlitaka ateseke jela?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Mtendeeni Lisu haki. Mliomba wiki mbili ili kumkomoa akae jela. Hili si agizo na wakubwa zenu. Mmeshakuwa indoctrinated na roho mbaya wa wakubwa zenu kumtesa Lissu.

Tendeni haki! KUNA SIKU YA HUKUMU INAKUJA, MTAULIZWA NA MUNGU WA HAKI.
 
Labda shahidi hajafika mahakamani maana hakuna aliyemuona zaidi ya mawakili wa serikali na polisi
 
Taifa limefikia kubayq,hizi roho mbaya wakizipata raia, mtaani kutakuwa hapakaliki.
 
Back
Top Bottom