PreGE2025 Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu

PreGE2025 Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
440
Reaction score
3,211
Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi watatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?

Pia soma LIVE - Yanayojiri Kesi ya Tundu Lissu Mei 19, 2025

Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.

Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya Willy Mutunga na baadhi ya waandishi wa Habari na wanasiasa kutoka Kenya waliosafiri kufuatilia kesi hii wameshikiliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 9 alfajiri.

IMG_20250519_071410.jpg

Hata hivyo, Polisi wameonekana pia kuwepo Makahamani hapo wakiimarisha ulinzi.

Pia soma Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar, Jaji Mkuu mwingine mstaafu David Maraga afanikiwa kupenya Kisutu
Ni vizuri mashabiki wake waachwe wakasikilize kesi kwa amani, kuwapiga inaharibu sana taswira ya nchi na kuwapa nguvu zaidi na kumpaisha kimataifa mhusika, kesi ikiendeshwa kwa amani hakuna mileage atakayopata itakuwa tu kama kesi zingine ambazo nobody knows them
 
20250516_211639.jpg

Leo ni siku nyingine ya kuorodhesha viwete wapya wataotembea kwenye wheel chair milele.

Chama kinakudanganya utapasuka kama Mdude kisha utasaaulika ndani ya wiki kama Mdude.

Tatizo la kukosa viongozi wenye maarifa, yakiwashinda mnaanza kumlilia Mbowe. Mbowe jitoke utuokoe sema neno Mbowe chama kinateketea, ndio shida ya kuwapa waropokaji madaraka makubwa na kukabidhi chama kwa wanaharakati kama maria sarungi. Mmemtukana mwamba dalali sijui mugabe mtekaji leo mnalilia awaokoe.
Huyu lissu yeye si amesema atakinukisha leo ngoja apate trailer kwa wafuasi wake watavyochapika tukinge damu ya kutosha.
 
Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu zitasomwa kwa mara nyingine leo hii. Tutarajie nini hasa, Lissu ataletwa kweli Mahakamani? Polisi aatatii amri ya Mahakama? Lakini je, mwitikio wa wananchi utakuwaje ndani na nje ya viunga vya Mahakama hiyo?

Fuatilia live mfululizo wa kila Kinachojiri Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Mei 19, 2025.

Alipo, tupo!

Gq-zsaJXMAAdta5.jpeg
 
Ni vizuri mashabiki wake waachwe wakasikilize kesi kwa amani, kuwapiga inaharibu sana taswira ya nchi na kuwapa nguvu zaidi na kumpaisha kimataifa mhusika, kesi ikiendeshwa kwa amani hakuna mileage atakayopata itakuwa tu kama kesi zingine ambazo nobody knows them
 
Ccm ni wajinga, wanashindwa kuelewa muamko wa hiyo kesi unatokana na matendo yao na policcm kuhujumu haki za upinzani, matokeo yake Chadema na upinzani wanapata free mileage. Kesi ingeanza kuendeshwa kwa uhuru na haki wala hao wakimataifa wasingevutiwa kufuatilia.
 
"" Imani kitu mbaya sana, wapo ambao lissu akiwaambia yeye ni Mungu, wataitika na kusema kweli wewe ndiye Mungu wetu, lissu muumba wa viumbe wote, "" shits hole Mather... ckeer! (mchumia tumbo aliyefanikiwa kukonga nyoyo dhaifu) huku akilipwa kwa siri mabilion, kwa kazi maalum, apigwe pi arudi kwake ubelgiji, wabelgiji ndiyo wanayoiyumbisha DRC
 
Ccm ni wajinga, wanashindwa kuelewa muamko wa hiyo kesi unatokana na matendo yao na policcm kuhujumu haki za upinzani, matokeo yake Chadema na upinzani wanapata free mileage. Kesi ingeanza kuendeshwa kwa uhuru na haki wala hao wakimataifa wasingevutiwa kufuatilia.
Kwanza hakuna kesi zaidi ya uonevu tupu
 
Back
Top Bottom