Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 740
- 485
Kesi ya kugombea nyumba kati ya Mkuu wa Kikosi cha kupambana na dawa za kulevya, Godfrey Nzowa na aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Suleiman Kova, inaanza kunguruma leo. Katika kesi hiyo, makamishna hao wanagombea nyumba ya serikali iliyopo maeneo ya uzunguni mkoani Arusha.
Chanzo: EATV
Chanzo: EATV