Kesi ya Kikatiba kuhusu kupinga muswada wa vyama vya Siasa iliyofunguliwa na Vyama 10 vya Siasa, yaahirishwa hadi 11/01/2019

Mahakama tunaamimi itatenda haki km muhimili unaotafsiri Sheria za nchi.mi naipongeza mahakama ilikuwa likizo na imetoka likizo kuja kusikia za kesi hiyo ya kikatiba ambayo Ni muhim kwa mstalabali wa siasa zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu kwanza swali langu! Hivi shule mlienda kusomea ujinga au?
Mkuu Ukiona hivyo ujue swali lako ni lakijinga. Unauliza mbuzi ananyea wapi wakati mkia unaona. Swali la kijinga hujibiwa kiwerevu, lakini kisomo kimekupita pembeni ndio maana umeshindwa kutambua kuwa hilo swali langu ndio jibu la swali lako.
 
Nadhani umefika wakati wa kuanza kuipeleka Serikali mahakamani kwa kila ovu wanalolipitisha..!!
Kuna mambo chungu mbovu yanapitishwa kwenye kale "ka baraza kao ka mawaziri" bila kujali mustakabali mpana wa nchi yetu!!
Mawaziri wenyewe tunaowategemea watutungie sheria kule Kongo wana akili lakini hawana Hekima na Busara.

Ndio wale wanaopiga picha za Makalio ya wake zao huko porini kwenye misitu ya Kongo na kuweka kwenye Mitandao ya kijamii. Yaani Busara ziro halafu wanatutungia sheria zisizozingatia Utu,usawa,haki n.k.

Wasomi wanapoamua kuweka maslahi yao Mbele na kuharibu dunia wanaiharibu kweli kweli bora ya wajinga mana wanafundishika na kushaurika mana uharibifu wao sio wa kisayansi na ni rahisi kuubaini na kusaidiwa.

Wasomi wanapoamua kuharibu wanatumia kila mbinu kuficha uharibifu wao kwa faida yao mkija kushtuka wao wameshatoka.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naiomba Mahakama iitendee haki Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na watu wake, Isikubali Demokrasia ife katika nchi hii, Isikubali kuona nchi hii inakwenda kuwa de facto One party State

Nawaomba Majaji angalau this time watembee katika nyayo za Jaji Lugakingira kwenye ile kesi ya Mgombea binafsi,
Wakifanya hivyo wataandika majina yao kwa dhahabu kwenye historia ya nchi hii!
Kwa mtizamo wangu Jaji Lugakingira alipaswa kutangazwa Mwenye heri.
Alipaswa kuitwa Mtakatifu Lugakingira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iwapo mahakama ikikubaliana na "walalamishi" ktk madai yao, itakuwa n kwa mara ya kwanza BUNGE popote pale duniani kuzuiwa na mahakama kutunga sheria...mahakama hiyo itakuwa ya kitongoji, siyo MAHAKAMA KUU.

NIJUACHO NI KUWA, mahakama inaweza kutupitilia mbali sheria kwa kupingana na katiba (unconstitutional). Lakn bunge kuzuiwa na mahakama kutunga sheria, hiyo n mpya...

MAHAKAMA IJITAFAKARI, NAONA INAGEUZWA KUWA UKUMBI WA MIKUTANO YA HADHARA YA WANASIASA

Pigania tumbo mzee.
 
Nani kasema kuwa mihimili mitatu hii haoongiliani?

Mara ngapi tupeona Mbunge aliyekwisha apishwa na Bunge anatenguliwa na Mahakama?

Raisi anaapa kuilinda na kuongoza kwa katiba iliyoundwa na Bunge

Executive orders kupingwa mahakamani na kuwa over turned e.g. Trump immigration policy.
 
Back
Top Bottom